GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
- Thread starter
- #21
Somo zuri sana hili mkuu. Nitakutafuta Arusha tuongee ishu fulani ya kwenye utaliii
Itakuwa vizuri sana mkuu.
Nitakupatia number yangu pm.
Somo zuri sana hili mkuu. Nitakutafuta Arusha tuongee ishu fulani ya kwenye utaliii
GLOBAL CITIZEN said:You eat only what you kill
Nimeielewa sana hii
mkuu nipo sehem ambayo kuna network ya 2G hvyo natumia cm ndogo siwez kukupata kwa e-mail.
Naomba tuwasiliane PM!
GLOBAL CITIZEN said:Upo umasaini nini ndugu yangu nimeona hiyo avatar yako
Respect sana kwako brother
Ndio mkuu
Pamoja sana mkuu
Nzuri.
Ahsante na hongera.
Ahsante sana mkuu naona umejikita upande wa service zaidi ila hata huku kwenye bidhaa mwendo ni huohuo..kitu nilichogundua ni kwamba dunia inamabadiliko ya kasi sana hivyo inatubidi tubadilike nayo ila tukifanya mambo kimazoea tumekwisha.
Hiyo ndo sababu ya msingi.. Mtu anaandika utafikiri kazi zipo tu alafu zinakosa watu wenye sifa!
Haya ni maoni tu ww unakimbilia kunijudge mimi badala ya kile nilichosema, kaa ukijua kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti.
Bahati nzuri nimeweza kufanya mambo yangu mwenyewe ya kuniingizia kipato takribani miaka 5 sasa.. Sipo kwenye hilo kundi la kusubiria kupewa kazi!
Mawazo ya kuchoka haya...sidhani kama duniani hamna kazi....na siku kazi zikitoweka ujue pumzi lazima isimame na jua lisimame na rotation isimame hivyo kila kitu kisimame...i really disappointed na kauli hizi....ni kweli kabisa hamna kazi wakati mpaka kaburini tu kuna shughuli itakayoendelea..tumboni kwa mama kazi ilikuwepo pia....mtu yeyote atakaesema hana kazi ilihali alipelekwa shule ili aweze kushape skills zake basi anatakiwa afungwe kamba nyuma ya punda aburuzwe mji mzimaHiyo ndo sababu ya msingi.. Mtu anaandika utafikiri kazi zipo tu alafu zinakosa watu wenye sifa!
Cleverman324 said:afungwe kamba nyuma ya punda aburuzwe mji mzima
Mtu kasomea ualimu ila anasubiri post za serikali mwaka wa nne sasa..hajui mwalimu ni muelimishaji.je ameweka mkakati gani wa kutoa elimu kwenye jamii zaidi ya kufikiria kwenda kuchapa na kubakawatoto. Kuna makundi mengi ya kuyapa elimu na wewe kujipatia kipato...TUACHE UVIVU
Cleverman324 said:TUACHE UVIVU