Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

kihuba

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
264
265
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo awe na mapezi ya dhati

Kwa upande wangu sijawai zaa,sijawai olewa, mcheshi na mwenye msimamo thabiti mengine kuhusu mimi pm.

Tafadhari kama ujumbe huta upenda usinitafute pm

NB:Naitaji mwanaume maji ya kunde asiwe mweupe wala mweusi lizingatiwe wapendwa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom