Akilinjema
JF-Expert Member
- Joined
- Aug 9, 2016
- Messages
- 3,743
- Points
- 2,000
Constructive one!




ulibadili hicho kipengele?Kumbe wanashereria nao ni wajanja . kuna wakili nilimpelekea issue ya kuniamdikia mkataba wa bajajaj . mwishoni kabisa akaniandikia ukitokea mgogoro watakaohusika kutatua ni sisi tuliopeana bajaji . mimi nilifikir ukitokea mgogoro mfano tukaenda mahakamani na yule wakili atakuja kunisaidia
Hapana mkuuulibadili hicho kipengele?