Unataka kununua nyumba au kiwanja? Hakikisha haya kisheria usitapeliwe

Uzi murua, shukrani sana, nina maswali mawili;

1.Kuna ulazima wa viongozi wa serikali ya mtaa kweye hili, nimeona maeneo mengi wenyeviti wa vitongoji na watendaji wakijumuishwa kwenye hii mikataba

2.wakili akihisishwa, gharama za kuandaa mkataba inakuwaje? kuna mazoea kwamba ni 10% ya makubaliano, hililimekaaje?
 
Back
Top Bottom