Unataka kujua hali ya Beijing, China?

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,006
1,026
Marafiki wapendwa wa Jamii Forum,
Mnataka kujua hali halisi ya Beijing? Mnataka kuangalia vivutio vya Beijing, kuona wachina wanavyoishi? Sasa ningependa kuwajulisha kipindi kipya cha Video cha "Fuatana nami Ione Beijing" kwenye tovuti ya CRI swahili Service. Fuatana na mtangazaji Fadhili Mpunji kuiona Beijing. Kweli nimeona mengi kuhusu Beijing na wachina kwenye kipindi hiki. Hivyo nafurahi kuwajulisha ndugu wa jamii Forum kuzitazama video kwenye tovuti ya Cri.
link:http://swahili.cri.cn/141/2009/12/29/Zt1s95553.htm
 
Tutaangalia sana za wachina, sijui zetu zitaangaliwa lini?
Kweli, nawafahamu wachina wengi, pia wanataka kujua hali ya Afrika. Labda iko siku zitaangaliwa, au wewe urekodi video moja?
 
Back
Top Bottom