unataka kujifunza kutengeneza tovuti/website yako au kuwatengenezea wengine?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami. Hauhitaji kujuwa lolote kuhusu html, css, dreamweaver au term nyingine yeyote. Ikiwa unaweza kuwasha na kuzima kompyuta na kufungua email yako, basi hautashindwa kutengeneza tovuti yako nami ndani ya mwezi mmoja. ipo programme itakayokuwezesha kuwa mtengeneza tovuti kwa muda mfupi kabisa, ukiwa na programme hiyo ambayo ipo atomatic zaidi utakuwa na uwezo wa kutengeneza tovuti zaidi ya bilioni moja kwa kutumia account moja utakayojisajili nayo!!. usichelewe muda ni sasa. nipigie: 0769779533, fadhili.
 
asante kwa kutujulisha naona umelenga kuongeza ajira nchini,ni bure au gharama inahusika?
 
thanks 4 ur reply, gharama kidogo. kutengeneza tu tovuti moja na kuondoka hapa mjini inaanzia laki 3 mpaka milioni moja na nusu na hivi. kumbe ukijiunga nami, utatoa laki tatu tu na utafundishwa kwa mwezi mmoja, laki tatu hiyo hiyo pia inahusisha activation ya software ambayo yenyewe inakupa unlimited domains and hosting yaani utaweza kutengeneza tovuti na kuzi-publish online zaidi ya bilioni moja kwa account moja!!!. kumbuka tovuti ni kama kitabu ambacho unaweza kuandika jambo lolote kama ni kuhusu shamba, kioski au maisha yako tu online, hivyo siyo lazima uwe na biashara kubwa. 0769779533
 
Natamani ningesoma wakati huu ambapo ujasiriamali unafundishwa shuleni.

Maelezo yako yamenivutia sana Filipo, kazi nzuri.
 
Natamani ningesoma wakati huu ambapo ujasiriamali unafundishwa shuleni.

Maelezo yako yamenivutia sana Filipo, kazi nzuri.

Mkuu nakuaminia kama vp anza then nitawatafuta wote...ishu sio pesa bali competence and security ya software..
 
thanks 4 ur reply, gharama kidogo. kutengeneza tu tovuti moja na kuondoka hapa mjini inaanzia laki 3 mpaka milioni moja na nusu na hivi. kumbe ukijiunga nami, utatoa laki tatu tu na utafundishwa kwa mwezi mmoja, laki tatu hiyo hiyo pia inahusisha activation ya software ambayo yenyewe inakupa unlimited domains and hosting yaani utaweza kutengeneza tovuti na kuzi-publish online zaidi ya bilioni moja kwa account moja!!!. kumbuka tovuti ni kama kitabu ambacho unaweza kuandika jambo lolote kama ni kuhusu shamba, kioski au maisha yako tu online, hivyo siyo lazima uwe na biashara kubwa. 0769779533

siyo kwamba,hii post ingekuwa kule kwenye matangazo madogo madogo?
safi sana! njia muafaka ya kujiwezesha kiuchumi
 
Back
Top Bottom