Unataka kujenga lakini gharama ni kubwa?Huwapati wataalamu?ingia hapa

luckawanna

Member
Joined
May 9, 2014
Messages
68
Points
0

luckawanna

Member
Joined May 9, 2014
68 0

  • Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo ankaa za umeme,maji na matengenezo hazitokuwepo kabisa ama kuwepo kwa kiwango kidogo?Je unahitaji nyumba ambayo utaweza kuotesha na kuzalisha mbogamboga uzipendazo,matunda,na kukupa nafasi nzuri ya kupumzika.Unahitaji nyumba ambayo ndani hapatakuwepo joto kubwa ama baridi,bali itakayokuwa najotoridi hitajika mwilini mwa binadamu?Je unahitaji nyumba ambayo maji taka na mfumo wa taka utatumika baada ya kuchunjwa na hivyo kupunguza upotevu wa maji,kulinda mazingira na kutengeneza mbolea kwa ajili ya mimea na hivyo kuondoa gharama za kununua chakula na kuendesha mfumo wa maji taka kwa gaharama?Kama jibu ni ndiyo...nakuletea ramani za nyumba hizi ambazo zitalinda mazingira yetu na gharama kuwa chini.
    Kwa maswali na maoni,unaweza kuuliza hapa kwa faida ya wanagroup wote na kama utahitaji maelezo zaidi ni inbox ama uliza kwa watsapp namba 0765046644.Tazama picha 

evigt

Senior Member
Joined
Jul 9, 2014
Messages
119
Points
195

evigt

Senior Member
Joined Jul 9, 2014
119 195

  • Je unataka/una mpango wa kujenga nyumba ya gharama nafuu kwa kutumia vifaa vinavyopatikana hapa nchini na nje ya nchi?Je unahitaji nyumba ambayo baada ya kuijenga gharama za uendeshaji ikiwemo ankaa za umeme,maji na matengenezo hazitokuwepo kabisa ama kuwepo kwa kiwango kidogo?Je unahitaji nyumba ambayo utaweza kuotesha na kuzalisha mbogamboga uzipendazo,matunda,na kukupa nafasi nzuri ya kupumzika.Unahitaji nyumba ambayo ndani hapatakuwepo joto kubwa ama baridi,bali itakayokuwa najotoridi hitajika mwilini mwa binadamu?Je unahitaji nyumba ambayo maji taka na mfumo wa taka utatumika baada ya kuchunjwa na hivyo kupunguza upotevu wa maji,kulinda mazingira na kutengeneza mbolea kwa ajili ya mimea na hivyo kuondoa gharama za kununua chakula na kuendesha mfumo wa maji taka kwa gaharama?Kama jibu ni ndiyo...nakuletea ramani za nyumba hizi ambazo zitalinda mazingira yetu na gharama kuwa chini.
    Kwa maswali na maoni,unaweza kuuliza hapa kwa faida ya wanagroup wote na kama utahitaji maelezo zaidi ni inbox ama uliza kwa watsapp namba 0765046644.Tazama pichaNice..
 
Forum statistics

Threads 1,365,128
Members 521,108
Posts 33,337,376
Top