Unataka kuiharibu wikendi yako? INGIA WALL YA JAKAYA KIKWETE RYT NOW?

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kama upo tayari kuipoteza mood tembelea kwenye hiyo wall ya rais Jakaya Kikwete kwenye facebook,leo amezungumzia suala la EPA,
Kamchina kangu hakawezi kuileta link hapa.
 
nimesoma, na coment yako nimeiona ukimsifia kwa kuchukua maamuzi magumu! halafu umekuja jf unakuwa kigeugeu..
 
kwenye FB alishaniondoa siku nyiiingi maana ukimpa za uso anakuondoa kwenye list yake, siju ndio ustaarabu gani.
 
Mngetuwekea na link basi ya kwenda huko,
Sio wote ni member wa hiyo kitu mnayozungumzia!!
 
Kama upo tayari kuipoteza mood tembelea kwenye hiyo wall ya rais Jakaya Kikwete kwenye facebook,leo amezungumzia suala la EPA,
Kamchina kangu hakawezi kuileta link hapa.
Tatizo jingine ni kuwa anabandika andiko, watu wakihoji baadhi ya mambo anayoyaandika, wala harudi kujibu!
 
Amesema hivi 'AZMA YA KUZIPELEKA PESA ZA EPA kwenye TIB(TANZANIA INVESTMENT BANK). Na atahakikisha hzo bil 53 zilizorudishwa wakulima wanakopeshwa'
 
Aah! namtania tu mkuu bajabiri... ila coment nyingi za kule ni za vilaza sana! nyambaff..

Vilaza sana mkuu
Siku moja nilitoa comment kwenye hizo post zake za kinafiki halafu lijamaa limoja likaniandama kweli'sijui ndiye msaidizi wake
 
Vilaza sana mkuu
Siku moja nilitoa comment kwenye hizo post zake za kinafiki halafu lijamaa limoja likaniandama kweli'sijui ndiye msaidizi wake

yawezekana wanatumwa kuunga mkono. si unajua viongozi wetu wanavyopenda kusifiwa ujinga?
 
Amesema hivi 'AZMA YA KUZIPELEKA PESA ZA EPA kwenye TIB(TANZANIA INVESTMENT BANK). Na atahakikisha hzo bil 53 zilizorudishwa wakulima wanakopeshwa'

Kuna siredi hapa inasema hizo pesa zimeshaliwa tayari kutokea huko TIB, sasa yeye anasema uongo kwa nini?
 
kweli mkuu zishaliwa na hao hao waliorudisha
ilikuwa janja ya nyani tu kuona hela zinarudi na anajua hilo
anadhani bado watz ni wadangayika
Kuna siredi hapa inasema hizo pesa zimeshaliwa tayari kutokea huko TIB, sasa yeye anasema uongo kwa nini?
 
Jakaya Kikwete | Facebook


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Wakati nikilihutubia Bunge mwaka jana nilitangaza kwamba Tshs.53/- bilioni kati ya Tshs.133/- bilioni zilizotolewa isivyo halali kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje(EPA) zimerudishwa na zitawekwa katika Benki ya Rasilimali Tanzania(TIB) kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wakulima nchini.Huu ndio uamuzi tulioufikia na tutaendelea kuuzingatia na kuusimamia.[/h]Like · · Share · 7 hours ago ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    ‎"Nchi yetu inaheshimu sheria na utamaduni wake.Hatupo tayari nchi nyingine kutuwekea masharti ya kuwa na uhusiano wa jinsi moja.Hili ni tamko hatarishi linaloweza kuvunja uhusiano na nchi nyingine.Miongoni mwa nchi 54 za Jumuiya ya Madola kati yake nchi 13 ushoga ni sehemu ya katiba yao wakati 41 hazina utamaduni huo hivyo msimamo wa Tanzania ni kuwa na ndoa za jinsi mbili tofauti,kinyume na hapo unafungwa kifungo cha miaka 30.Nchi yetu haiwezi kuyumbishwa na masharti ya aina hii na kamwe hatutaruhusu kuingiliwa na nchi nyingine."(Mh.Bernard Kamilius Membe,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)[/h]Like · · Translate · Share · 22 hours ago ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    I just returned home from Australia where I attended the Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) in Perth.While in Perth,I had a meeting with Tanzanians living in Australia and I also attended Partnership roundtables and panel discussions at the Commonwealth Business Forum where among other issues,Anglo Gold Ashanti Ltd.,the world's third-largest producer of the metal,will make a tax paym...See More
    [/h]Like · · Share · Yesterday at 8:31am ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Africa has enough water resource for irrigation and good weather for agriculture, all of which can enable the continent produce enough food to feed the entire world.What we need is a great green revolution to modernise the present agricultural practices;the need for huge investments by governments and the private sector in modern equipment,irrigation, use of quality seeds for higher productivity, use of pesticides and fertilizers.[/h]Like · · Share · Tuesday at 10:05pm ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Tanzania supports Kenya's military offensive against Somalia militia Al-Shabaab.We back Kenya's decision to invoke Article 51 of the United Nations Charter to defend its economic and security interests under threat by the terror group.We will continue to support efforts by Kenya,IGAD,EAC,AU and the international community to stabilize Somalia and the Horn of Africa region.[/h]Like · · Share · October 31 at 12:07am ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Mwezi huu tulikuwa na kongamano la uwekezaji katika eneo la Ziwa Tanganyika lengo likiwa ni kuendelea kusimamia kwa vitendo sera ya ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa ngazi zote.Sera hii ya kuwashirikisha wananchi kumiliki uchumi wa nchi yao ndiyo usalama wa uhakika wa uwekezaji na wawekezaji katika uchumi wa nchi yetu.[/h]Like · · Translate · Share · October 25 at 3:15am ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Happy 50th Anniversary to my alma mater;the University of Dar es Salaam.No doubt you have played a part in what I am today.[/h] Wall Photos



    Like · · Share · October 20 at 8:42am ·




  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Na Waziri Mkuu,Mh.Mizengo Pinda katika mjadala wa jinsi ya kuongeza kasi ya uwekezaji katika eneo la Ziwa Tanganyika,(Kigoma,Rukwa na Katavi),Oktoba 17,2011;Mpanda.[/h] Agosti - Oktoba, 2011



    Like · · Share · October 17 at 8:10pm ·




  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Launching the Lake Tanganyika Investment Forum in Mpanda today.Working for more better ways to improve the economy of the region through investments in tourism,agriculture and mining.[/h] Wall Photos



    Like · · Share · October 16 at 8:46pm ·




  • [h=6]Jakaya Kikwete
    He was the liberator,the nation builder,the Pan Africanist.He was the internationalist and he was the humanist;a pillar to our nation;a giant that we've always seen further by standing on his shoulders.[/h] Wall Photos



    Like · · Share · October 14 at 1:23am ·




  • [h=6]Jakaya Kikwete
    The government will invest over 1.6trn/- in a gas pipeline and processing plants in Mtwara and Lindi regions to Dar es Salaam whereby over 530km pipeline from Mnazi Bay to Dar es Salaam via Kilwa will be constructed starting November 2011.The total costs for this project will be $1bn,a loan from China's Exim Bank.This with other projects will provide a long term energy security to the country which include a solution to power shortage.[/h]Like · · Share · October 12 at 7:10pm ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    ‎7th October 2011 is my 61st birthday.Grateful for the opportunities that my nation and the world have given me to serve through all my life and looking forward to do it more.Thank you all for the birthday wishes.[/h] Wall Photos



    Like · · Share · October 7 at 1:59am ·




  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Best wishes to all Form IV students across the country sitting for their GCSEE starting tomorrow,3rd October 2011.This nation needs your passion and ideas and this is one stage as you are heading for the best for yourselves,your families and the nation.You're this country's future.[/h]Like · · Share · October 2 at 7:52am ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    Leo ndugu zetu wa Igunga wanatumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua Mbunge wao.Nawatakia kila la kheri na uchaguzi wenye amani na utulivu.[/h]Like · · Share · October 1 at 7:10pm ·


  • [h=6]Jakaya Kikwete
    A farewell from the outgoing Vatican Ambassador to Tanzania,Archbishop Joseph Chennoth after completion of his six-year tour of duty;Thursday 29th September 2011 in Dar es Salaam.[/h] Wall Photos



    Like · · Share · September 30 at 12:12am ·




Older Posts
 
Back
Top Bottom