Unataka kufanikiwa kimapenzi;sali sala hii

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Nakuombea furaha yako iongezeka kama bei ya petrol na umeme

mashaka yako yapungue kama kura za ccm 2010

umaarufu wako uongezeke kitandan na kwingineko kama kijiji cha loliondo

hekima zako zizagae kila sehemu kamabidhaa za wachina

wanaokuombeamabaya wapotee kama deci

uwepowako dunian uwe nuru dunian kama alivyo ambilikile mwasapile

nakuombea ufanikiwe ndoa yako uishi kwa furaha na si uhuzuni kama wakazi wa gongo la mboto

kwa mungu baba ninaomba

amen
 
Pdiddy,
nimeipenda sala yako, safi sana....... ASANTE......





'''NJIA ATUMIAYO MTU KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO NDIYO KIELEZO CHA UTU ,HEKIMA, NA BUSARA ALIYONAYO""
 
hiii bana iko chokozi sana hii, iko tafuta mimi ubaya hee
 
Back
Top Bottom