Unataka kucheka? Msikilize Lema alivyomtoa jasho wakili kesi ya Ubunge Arusha...

Kilichokuchekesha nn sasa? au ndo ushabiki uliopitiliza? Well, napenda Lema/cdm washinde kesi hii pale Arusha,,lkn kwa hapa hakuna cha kuchekesha bana!

Wewe unaona kitendo cha kupiga people's na watu kuitikia pawa tena mahakamani ni cha kawaida hicho? Kama jamaa alicheka ni sahihi!
 
hii ni hakunaga kabisa. yani alidhani kumwambia ajifanye kama anahutubia mkutano wa siasa ndo asingeanza na kibwagizo? halafu uyo mama si kaukwaa ubalozi, awaambia wapiga kura wake watulie, Arusha tusonge mbele
 
Hiyo kesi kwa mwenendo huu naona haina mashiko maana inasimamiwa na wakali mwenye hasira ya kushindwa kwenye kura ya maoni
 
kilichokuchekesha nn sasa? Au ndo ushabiki uliopitiliza? Well, napenda lema/cdm washinde kesi hii pale arusha,,lkn kwa hapa hakuna cha kuchekesha bana!

sina itiqad yeyote kwa vyama vya siasa kwa7bu za kiimani ingawa nafuatilia mambo ya kisiasa kwa7bu ya unyeti wake ktk maisha ya kawaida;
hapa cha kuchekesha kipo, wakili kamtaka lema akariri maneno kama alivyohutubia mkutanoni,bila kuainisha nukta ipi, lema anaanza 'pipoz' halafu jamaa anakurupuka, huoni jokes hiyo?
 
Kilichokuchekesha nn sasa?

Well, napenda Lema/cdm washinde kesi hii pale Arusha,,lkn kwa hapa hakuna cha kuchekesha bana!
hujaona kilichochekesha???
Hayo majibu ya lema ndio dawa ya mawakili vigeugeu wanaokurupuka kama huyu pimbi!!!
 
Kuna raha, mtu anapozijua haki zake, na kubwa zaidi anapoondoa uoga anapokuwa mahakamani. Nadhan wafuasi wa Mh. Lema, (na watanzania kwa ujumla) watakuwa wamejifunza kitu hapo. I cant wait to hear the second witness.

Naona wakili kakutana na wajuaji sasa. Sidhani kama rewards zake zinaendana na kazi iliyopo mbele yake.
 
Labda sipo katika good mood ndo maana sijacheka ila nimegundua jamaa alikuwa anajitetea kijanja na kumchallenge wakili katika njia nyepesi!!!big up lemma!huyu mnyamwezi namkubali gwanda za chama zinavyomkaaga!!!
 
Back
Top Bottom