Unataka ku-unlock modem yako ya internet

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
KAMA UNATAKA KUFUNGUA MODEM YAKO NI KAZI NAWEZA KUFANYA,MUDA HUU INTERNET YA VODA INASUMBUA KAMA UMEWEKA BOMBA 30,ZAIN IPO VIZURI,BASI KAMA UNA MODEM NITUMIE, BRAND,MODEL NA IMEI,THEN NITAKUFUNGULIA MODEM YAKO.THEN UNACHANGIA MUDA WANGU "FREE WILL"VOCHA YA ZAIN 5000 fAIR
 
Nice altenative
Na wewe kama una ID yako ya zamani tangaza tu kwa ID ile ile usiogope na watu wanaweza kukutrust zaidi.
 
hiyo free will voucher inatolewa kabla au baada ya kazi kufanikiwa?
 
sijakuelewa hiyo bomba 30 ina mahusiano gani na ku unlock modem. vipi kuhusu kuunlock modem nyingine kama za zantel na tze? nijibu plz.
 
Kaka naona kama upo kibiashara zaidi kuna watu kama Calvin power wametoa link za ku-download hz unlocking software. Wewe mbn unaanza mapema hvo? Anyway pitia kule Jukwaa la technology and science unaweza ona how do members of JF help each other!
 
imekula kwako mkuu hapa tunazitoa free kabla ujapost ungetumia search botton ucnge
 
Back
Top Bottom