Unataka cover?

yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
231
Likes
130
Points
60
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
231 130 60
Habar? je ww ni msanii mdogo{mchanga} na unataka cover ya Kutangaza Music wako kupitia mitandao ya jamii?
Basi nafanya Design nzur na ya cover ya Kueleweka. Bei yangu ni ya Ki-shkaji tu.
piga
0 6 5 3 2 8 5 2 4 7
hii ni moja tu ya cover niliyoifanya kutoka picha halis hadi music cover
img-20160628-wa0030-jpg.362939
becka-manuva-poster-jpg.362941
 
KRISTIAN P

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
417
Likes
28
Points
45
KRISTIAN P

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
417 28 45
mimi mdau wa mziki na mmiliki wa studio mmoja maarufu hapa Dar idea yako ya kutaka kutengeneza cover ni nzuri ila kwasasa game limebadilika,mziki ni biashara msanii aki kuletea picha kama hiyo piga chini.. Mwambie akafanye photoshot alete picha nzuri hiyo ni chini ya kiwango..
 
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2016
Messages
231
Likes
130
Points
60
yaleke4d

yaleke4d

JF-Expert Member
Joined May 11, 2016
231 130 60
mimi mdau wa mziki na mmiliki wa studio mmoja maarufu hapa Dar idea yako ya kutaka kutengeneza cover ni nzuri ila kwasasa game limebadilika,mziki ni biashara msanii aki kuletea picha kama hiyo piga chini.. Mwambie akafanye photoshot alete picha nzuri hiyo ni chini ya kiwango..
great ukwel uliouongea nitafany hivyo
 
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,617
Likes
3,675
Points
280
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,617 3,675 280
Wasaidie ila wakifanikiwa waache ujinga wa kujifanya ndo wanajua mepenzi kulikko wanaume wote.
 
Forum statistics

Threads 1,237,251
Members 475,501
Posts 29,282,699