Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.

Wimbo wa madilu system na mimi nautaka ingawa jina silijui
 
Kuna wimbo mmoja wa kikongo, jina lake sikumbuki ila ndani wanataja majina ya wasanii wakubwa wa Kongo, kuna kionjo kama cha Lelee lele le le lele lele, lelee lele le le lelee. utaniskia wanataja majina kama pepe kalee,...... kofi olomide aeeee. Nautafuta sana tafadhali nisaidieni.
Teula mala
 
Solo thang: 1) SUKARI na PILIPILI
2)BONGO TRANS
3)UNYAMA UNYAMA
4)NDOTO
5)VINA UTATA
6)MAPENZI.. nkizipata nitafurahi sana
Huyu jamaa ni kichwa haswaaa ngoja nizitafute hizi nyimbo zake na Zaidi nitamtafute kule twitter maana miaka ya nyuma niliwasiliana nae sana huko twitter
 
Tafadhari adimin wa group la watsapp la kipindi cha capital Fm cha Emily ( Bozouk Time) kila siku jioni saa 12 hadi saa 3 usiku, naomba link au namna ya kuungwa nipate kuchangia huko
 
kuna nyimbo nimeisikia mara moja kiitikio chake ni kwamazuru eeh please anayeijua
 
mkuu Roga Roga , naomba wimbo flani hivi nadhani ni twanga pepeta. Kuna mahali wanaimba ''kazi za jikon mwachie shemeji ee."" ..,

(Ni kama jamaa anaingilia majukum ya wife jikon)...ni wazan kidogo
 
Back
Top Bottom