Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mwanzisha uzi ubarikiwe sana. Maana nimepata vibao kibao humu hata nilikuwa sijui majina ya nyimbo na waimbaji wake
 
Kuna wimbo mmoja sijui kaimba nani ila na Juma Nature ni miongoni mwa waimbaji. Wanaimba
Miliima nimepanda naye..mabonde nimeshuka naye.. ni pekee nimpendaye,nimwaminiye
Kama kuna anayeufahamu anisaidie nautafuta sana
 
Kuna wimbo wa zamani wa bendi moja ya kitanzania unasema 'Umetupa jongoo na mti wake". Sijui umeimbwa na bendi gani ya miziki wa dansi.
 
Mkuu,katika album ya Mario 1985 nyimbo ya pili baada ya Mario,sijui inaitwaje,naiomba ile nyimbo saaana,maana naipenda sana.
Ndani ya album hiyo kuna nyimbo kama ngaite.pesa positions na nyingimezo.
 
Huo wimbo baadhi ya mashairi yake yaliimbwa kwa kiswahili na baadhi ya mashairi yake ni ' ekibinda kibinda kibindae, ekibinda nkoi... ooh mwanamiae oooh mwanamiae, mwanakaleta muziki mwanamiae... nk
Uliupata huu wimbo mkuu?
 
Mkuu, kuna kwaito flani hivi km ulishawahi angalia bongo movie moja hivi ya Gabo yuko na Shamsa fodi kuna sehemu Gabo amelewa akawa anaicheza hy kwaito... Dah cjui ata km ushawai ichek kweli
 
Mkuu dah sijui unishushie tu album mzima
Fredy Nelson
Patience 'kila mbongo'
Ecart dou dou

Natanguliz shukran kiongozi
 
Back
Top Bottom