Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
 
Mkuu bado sijakata tamaa kusubiria
 
Mkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
Zingine nakutumia, ila ikibinda nkoi ni mtindo tu uliokuwa ukiimbwa na watu wengi...mfano koffi olomide, diamond sound
 
Huo wimbo baadhi ya mashairi yake yaliimbwa kwa kiswahili na baadhi ya mashairi yake ni ' ekibinda kibinda kibindae, ekibinda nkoi... ooh mwanamiae oooh mwanamiae, mwanakaleta muziki mwanamiae... nk
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom