Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado sijakata tamaa kusubiriaMkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
Vile vile naomba wimbo wa Tongolanga unaoitwa'MPENZI SANURA'
Zingine nakutumia, ila ikibinda nkoi ni mtindo tu uliokuwa ukiimbwa na watu wengi...mfano koffi olomide, diamond soundMkuu Roga roga naomba nyimbo 'ekibinda nkoi' sijui aliimba nani miaka hiyo na nyingine ktk albam hiyo. Pia naomba nyimbo za Nasma Khamis Kidogo kama vile 'Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huoo' na nyinginezo. Pia naomba wimbo wa Mbaraka Mwinshehe 'Tabia njema ni silaha'
Huo wimbo baadhi ya mashairi yake yaliimbwa kwa kiswahili na baadhi ya mashairi yake ni ' ekibinda kibinda kibindae, ekibinda nkoi... ooh mwanamiae oooh mwanamiae, mwanakaleta muziki mwanamiae... nkZingine nakutumia, ila ikibinda nkoi ni mtindo tu uliokuwa ukiimbwa na watu wengi...mfano koffi olomide, diamond sound
Zingine nakutumia, ila ikibinda nkoi ni mtindo tu uliokuwa ukiimbwa na watu wengi...mfano koffi olomide, diamond sound
Zingine nakutumia, ila ikibinda nkoi ni mtindo tu uliokuwa ukiimbwa na watu wengi...mfano koffi olomide, diamond sound