Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,121
- 4,016
Mkuu Roga Roga nashukuru sanaLunch time si ni hiyo ya Daniel Omolo? Nawashukuru wazazi nimekuwekea version mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Roga Roga nashukuru sanaLunch time si ni hiyo ya Daniel Omolo? Nawashukuru wazazi nimekuwekea version mbili tofauti
Lunch time si ni hiyo ya Daniel Omolo? Nawashukuru wazazi nimekuwekea version mbili tofauti
zipo yingi sana, nimekuchagulia hizo mbili
ImetuliaHicho kikiwa na english lyrics
Mkuu kuna nyimbo fulani za Them Mushroom zinapigwa sana kwenye Harusi zipo kama 3 hivi naziomba tafadhali.azda upo tayari nahisi page za mwanzo za posti hii
Mkuu Frank wanjiru: pole sana mtani Zahera cyo mtu mzuri kbsa badala ya kufundisha mpira anashinda kwenye MediaMkuu kuna nyimbo fulani za Them Mushroom zinapigwa sana kwenye Harusi zipo kama 3 hivi naziomba tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha yule ni Multipurpose MkuuMkuu Frank wanjiru: pole sana mtani Zahera cyo mtu mzuri kbsa badala ya kufundisha mpira anashinda kwenye Media
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia wimbo wa Azalati Sehawa muimbaji simjui...
Mbuta mbutu Yondo Sister
Na nzuri zote za Pepe Kale
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar mkuu naomba nyimbo ya Vunja mifupa bado meno ipo,Pepe Kalle -roggermilla
Sent using Jamii Forums mobile app
za pepe kale zipo nyingi...nimekupa moja zingine ungetaja majinaTupia wimbo wa Azalati Sehawa muimbaji simjui...
Mbuta mbutu Yondo Sister
Na nzuri zote za Pepe Kale
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks sana..uko vzuriza pepe kale zipo nyingi...nimekupa moja zingine ungetaja majina