Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mi natafuta wimbo mmoja ameimba Alan kounkou antaja nchi zote za africa "congo zaire sonte, siku tutafika sonte" baadhi ya mashairi
 
Mm natafuta wimbo wa mwanamuziki wa Congo simkumbuki, ila baadhi ya mashairi ya wimbo huo anaimba;...lusongi nyoso...lusongi Kenya......hamuwhele hemabee...
Halafu anataja miji kama Dar es salaame, Nairobi, younde, Bujumbura, Kinshasa, Kigali, Harare etc.
Mwenye nao au anayeukumbuka naomba anitajie jina halisi la wimbo na msanii.
Ahsanteni.
 
Mi natafuta wimbo wa Fally Ipupa ujumbe amemuimbia the late mama yake. Siufahamu jina wala lyrics niliusikia nikiwa na mtu na huyo mtu akawa ananitafsiria. Kama kuna mtu anaufahamu naomba anifahamishe, Ahsante.
 
Nje ya mada kiduchu

Mkuu yule rapa wa extra music yuko wapi!?

Ile Quartier latin international walifia wapi baada ya kuondoka kwa koffie, kulikuwa na rapa mile alikuwa anajua saana sijui kafia wapi. Suzuki 4*4!?

Na yule rapa wa mara ya pili aliyeghani katika effrakata, force de frape yu wapi?
 
Wakuu nilisahau
Tchico tchicaya
Africa
Soukous machine
Mabele mboka etumba
Jeannot

Mbuta Likasu
Fête des chiens
Na nyingine zote

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ
 
Attachments

  • Tchico Tchicaya - Soukouss machine.mp3
    10.7 MB · Views: 92
  • Tchico Tchicaya - Nostalgie d'afrique.mp3
    7.4 MB · Views: 84
Kuna wimbo unaimbwa hivi na kuna minuzi mingi sana
Musiyambusi wala neno musiyambulee x2
Vuma yama vumalimale ayaule ule ambooo sijua kaimba nani anayeujua anitajie hata jina tu
 
Kuna wimbo unaimbwa hivi na kuna minuzi mingi sana
Musiyambusi wala neno musiyambulee x2
Vuma yama vumalimale ayaule ule ambooo sijua kaimba nani anayeujua anitajie hata jina tu
Sio huu kweli wa alpachino??
 
Attachments

  • Alipachino - D'offensive generalise.mp3
    6.4 MB · Views: 84
Nje ya mada kiduchu

Mkuu yule rapa wa extra music yuko wapi!?

Ile Quartier latin international walifia wapi baada ya kuondoka kwa koffie, kulikuwa na rapa mile alikuwa anajua saana sijui kafia wapi. Suzuki 4*4!?

Na yule rapa wa mara ya pili aliyeghani katika effrakata, force de frape yu wapi?
Quarter latin international ni bendi ya koffi olomide, wale waliojitoa walijiita Quarter latin Academia na walikuwa na waimbaji watatu tu ambao ni sam shintu, madogo abarambwa na gecko bouro mpela, marapa walikuwa wawili ni Dolce somono na mboshi liapasa, wengine ni paty bass na lebou kabuye. suzuki yeye alitoa album solo akisaidiwa na wenge bcbg. hao academia walitoa album mbili sanction na viagra kabla hawajsambaratika.....kiufupi sana
 
Nashukuru kwa jibu lako murua, japo viswali vingine umeviacha!

Rapa wenu wa extra musica yule maarufu aliyekichafua katika etat major, shalai, losambo na ngoma kibao! Mie nilipenda kumuita super tall! Watu wakikosea na kumuita roga roga.

Yule dogo aliyechana katika efrakatta ni yupi na je yuko wapi, ndio huyo huyo aliyechana katika force de frappe?
 
Back
Top Bottom