Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Mkuu kuna alubamu moja ilitolewa ya ki kongo ilikuwa na nyimbo kali sana ,mimi huwa siijui sana sijui ilikuwa utoto ila kwa juu ilikuwa imeandikwa G7 ,hizo nyimbo nazihitaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom