Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.

Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
Umefanya jambo la mbolea sana kuweka uzi huu, kwa kweli Mungu Akubariki!
 
Back
Top Bottom