Unatafuta cha kufanya kwa mafanikio makubwa?

amigooo

Senior Member
Jun 30, 2012
115
18
Hivi ww ni miongoni mwa ambao wanafikiria wafanye nn ili waweze kutoka kimaisha?
Watu wapo wengi sana wenye ndoto nzuri za maisha wanakaa chini, wanalala na kuamka wakifikiria cha kufanya bila kupata jibu sbb ya kila kinachokuja kichwani hakioneshi mafanikio. Sisi tuna njia safi sana inayoweza kukufanya ufanikiwe na kamwe kutorudi nyuma kimaendeleo kama umejiwekea malengo. Waweza kutuandikia kwa email healthwealthfirst@gmail.com. Ukiwa haupo serious na huna malengo na maisha basi usimkwaze mwenzako mwenye mawazo tofauti na yako.
 
Wengi wetu tuna mawazo mazuri sana ya kujiendeleza, tatizo kubwa ni mitaji na masoko. Serikali hii haina mipango thabiti ya kurasimisha sekta isiyo rasmi ili mlalahoi (watu wa chini) aweze kukopesheka na mabenki yaliyopo hapa nchini badala yake wenye nafasi kubwa kiuchumi ndio wanaokopeshwa fedha ndogo ndogo za walalahoi zilizowekwa ktk mabenki ikiwemo mifuko ya jamii.
 
Hilo ni la kweli kabisa unalozungumzia distazo. Lakini hayo yote yasitufanye tudumazwe na tuone basi hakuna tena njia. Inabidi tuhangaike ili kuweza kujikwamua. Thanx!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom