Unatafsiri vipi picha hii: mwanamke kupiga goti au 'kubonyea' kidogo wakati wa kusalimia

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Je, unatafsiri vipi Theresa May akimsalimia Queen kwa kupiga goti?

thereza3.jpg
 
ni utaratibu wetu watu wa nyanda za juu kusini hasa kwa wanawake
inaashiria unyenyekevu na heshima
 
Heshima ya hali ya juu.ni jambo la kawaida kwa kule kwetu kanda ya ziwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom