Unasubiri kula uroda hadi ufunge ndoa kumbe mwenzio anagawa uroda kama pipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unasubiri kula uroda hadi ufunge ndoa kumbe mwenzio anagawa uroda kama pipi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, May 31, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,530
  Likes Received: 9,946
  Trophy Points: 280
  Una mchumba, mzuri kwa sura na umbo, mrefu bonge la kaka litanashati.
  Mmekubaliana kuwa hamna kuparamiana hadi mfunge ndoa kwa kuwa nyie ni walokole safi.
  Mapenzi yenu yanaendelea, siku moja kabla ya harusi mchumba wako anafumaniwa gesti na mke wa mtu, soo linamalizwa kiungwana.
  Kesho yake kanisani mchungaji anapouliza iwapo kuna mwenye pingamizi mara wanaibuka wanawake watatu, mmoja ana watoto wawili, mwingine ana mtoto mmoja na mwingine ana cheti cha ndoa.
  Je mwanaume kama huyu anastahili adhabu gani kutoka kwa ndugu wa bibi harusi n??
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  hakuna adhabu zaidi ya kutengua ndoa maana hakuna ndoa hapo?
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Anastahili msamaha wa bibi harusi
   
 4. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Jamaa rijali huyo, na anafanya risk diversification. Oooh, natania tuu, aende Loliondo.
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,031
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  umeshampenda hamna namna
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  hahahahahahhahahahahaahh lol
  dahhhhh unajua kuniachaga solemba na
  thread zako jamani unanivutia na kunichekesha sana dear
  hii ya leo kali ..mmmhh
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,530
  Likes Received: 9,946
  Trophy Points: 280
  nasikia ile dawa ya Loliondo ni noma, ukinywa lazima tabia zako za kitandani ziimarike sana.
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,606
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hata kinyume chake inafaa.
   
 9. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mshikaji thread zako zimekaa kama sinema, yaani zina mtiririko mzuri na zinachekesha.
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kesho yake kanisani mchungaji anapouliza iwapo kuna mwenye pingamizi mara wanaibuka wanawake watatu, mmoja ana watoto wawili, mwingine ana mtoto mmoja na mwingine ana cheti cha ndoa.
  Je mwanaume kama huyu anastahili adhabu gani kutoka kwa ndugu wa bibi harusi n??[/QUOTE]


  Kwa nini apate adhabu na hapo kanisani ameshapata adhabu ya kutosha? Let it go!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,544
  Trophy Points: 280
  ahhhhhhhhhhhhhhhhh
   
Loading...