Extra Limo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 210
- 347
Kwa hiyo umeamua kunisema humu mkuu.Mimi nilikuwa nakunywa za ofa
Wivu tu umekujaa. Kuna mwanachuo alishakudharau au akakwambia wewe sio kitu kwa sababu ni class 7 ? Kuwa na mtazamo chanya ndugu sio kila jambo ni kama unavolichukulia kwenye nafsi yako.
😂 😂 😂 😂 😂 😂anakaa kwa washikaji zake
Usitishe watu,kila kitu na wakati wake...To be honest sipendi kuwa mnafiki huwa nasema kweli haswa juu ya suala la maisha nikizingumza kile ninachokiamini bila kutetereka wala kuogopa
Unasoma chuo kikuu na huna malengo ya maisha unatarajia tu kuajiriwa ofisi yenye kiyoyozi jua hatma inakuita
Una mkopo wa asilimia 100 na boom kama lote halaf huna cha maana unachokifanya na huna malengo unachezea tu pesa basi jua hatma inakuita mpendwa
Unasoma hujishughulishi unakula tu bata starehe sikatazi wala sipingi kula ujana sana ila uwe na malengo lakini unapata boom unakula tu starehe jua hatma inakuita!
Hatma ninini?
Hatma ni pale utakapomaliza chuo na boom limekata na ajira hakuna utapata anguko lenye kishindo cha 5g ulichezea pesa sana wewe sasa ni wakati wa kupata ulichokistahili asilimia 15% sijui na ile sijui ile 6% hapo maji utaita mma hatma itakutandika kisawa sawa
Hatma ni pale utakapomaliza utaishia huna hata mia starehe zote na bata zote kwishney hapo huna hili wala lile marafiki wamekukimbia na kukuacha njia panda ya ubungo kwenda mawasiliano
Hatma ni pale utakapomaliza chuo na kurudi kwenu huna chochote cha maana umerudi na na kiduku na cheni shingoni utadhani shule ulienda kusomea ujinga hakika ndo utaijua hatma ninini
Unarudi kwenu huna hili wala lile wazazi wako na ndugu wanaanza kukuchoka na kukuona mzigo hiyo ndo hatma mpendwa
Unarudi mtaani na degree yako hukufanya chochote boom lote la miaka 3 au minne hukufanya cha maana hapa duniani au kitu endelevu mtaa unaanza kukuchoka kikipotea kitu mtaani au tukio wanaanza kukusema huenda ni wewe "sio yule kweli?maana yeye ndo hukaa mtaa huu lazima atakua yeye ndo kaiba"hapo ndo utajua maana hatma ninini
Iogope sana hatma ,hatimaye kwani hii huamua na kuonyesha uliishia wapi, hatma ni hatari kuliko wakati wa sasa
Tengeneza msingi ukiwa chuo ili uweze kuwa na "hatimaye nzuri" badala ya "hatma mbaya"
Kweli kabisa mkuu,hawa motivesheni spikaz wanaharibu sana wadogo zetuWewe mpumbavu Mimi niliomba mkopo wa elimu na sio wa maisha kenge blood fock uliekosa mkia wewe.
Safii,kila kitu na wakati wakeShida wabongo....hasa wadada wakiona mtu kakaa sehemu anakula bia basi anajua huyo mtu ana peesa kwelikweli.....wanachuo wanakula bata ila sio kwamba ndo wanapata pesa ya maana hadi ya kutafutia maisha wakiwa chuo......pesa nyingi inaishia tu ku cover gharama za chuoni unachobakia kutumia we mwenyewe personally ni kidogo sana......sasa mtu akiona mwanafunzi bodi inamdai kama milioni 10 anajua basi hio milioni 10 yote mwanafunzi alikua analia bata kumbe hapo unaweza kuta yake mwenyewe yakutumia mfukoni kwa miezi kama mi 2 au 3 ni tulaki kadhaa tu.......ila yote juu ya yote kula bata ukiwa chuo uwezavyo maana ukishamaliza ukija kitaani upepo unabadilika......muda pekee wa kula bata lisilo na stress sana ni chuo na mie nashukuru nilifanya starehe mingi nikiwa chuo kwa sasa nipo kitaa sioni kitu kipya naendelea na stage nyingine ya maisha
huyu rafiki yetu jeuri sana ila wengi wao baada ya vyuma kukazaa huwa wepesi wa kulia liaa mpaka huruma sana.Wewe mpumbavu Mimi niliomba mkopo wa elimu na sio wa maisha kenge blood fock uliekosa mkia wewe.
Inadepend jaman! Mi binafsi naamini kila mtu ana mlangp wake wa kutoka kimaisha. Kuwa chuo ukatumia pesa zote pasina kuponesha walau one million per three years maana ake una namna nyingine ya kutokea pindi utakapo maliza chuo, Lakini kama wewe ndo mwenzangu na mimi secondary tu yenyewe umesoma kwa tabu ada plus chakula ilikuwa kikwazo Tsh laki tano kiuchumi inapona walau laki mbili per each boom kuvaa sio lazima at kila boom ununue walau kanguo BIG NO pia chakula ni mipango 2 sio lazima kila siku ule milo mitatu. Piah kigheto sio lazima at uwe na kila kitu kwa wakat huo! Ila labda ka unataka onekana wewe ni msuper kwa mademu na mashkaji sawa! Ila kumbuka cha moto lazima ukione baada ya masomo.
MWISHO: KUMBUKA KILA MTU ANA NJIA YAKE YA KUTOKEA USIFORCE TUFANANE
Tatizo tunakubali umaskini na kuona ndo life la kawaida alafu mtu ukipata luch ya ugali na kuku nusu ata weekend moja kwa mwezi tunaona ni anasa.. ukikaa mahali ukachukua glass ya juice ya jero tena sahivi matunda meeengi wanakujazia wanakupa na mrija mtu anaona unafanya anasa😂😂Shida wabongo....hasa wadada wakiona mtu kakaa sehemu anakula bia basi anajua huyo mtu ana peesa kwelikweli.....wanachuo wanakula bata ila sio kwamba ndo wanapata pesa ya maana hadi ya kutafutia maisha wakiwa chuo......pesa nyingi inaishia tu ku cover gharama za chuoni unachobakia kutumia we mwenyewe personally ni kidogo sana......sasa mtu akiona mwanafunzi bodi inamdai kama milioni 10 anajua basi hio milioni 10 yote mwanafunzi alikua analia bata kumbe hapo unaweza kuta yake mwenyewe yakutumia mfukoni kwa miezi kama mi 2 au 3 ni tulaki kadhaa tu.......ila yote juu ya yote kula bata ukiwa chuo uwezavyo maana ukishamaliza ukija kitaani upepo unabadilika......muda pekee wa kula bata lisilo na stress sana ni chuo na mie nashukuru nilifanya starehe mingi nikiwa chuo kwa sasa nipo kitaa sioni kitu kipya naendelea na stage nyingine ya maisha
Akili za kimasikini
Ni kweli Hatuwez kuwa sawa. Kila mmoja ana namna yake ya maisha na kutokana na namna hiyo humpelekea hata yeye kuwa na mitazamo yake! Lakini wale wenye maisha flani ambayo yanaeza match na yangu bhax wataafikiana na ninacho kisemaAkili za kimasikini
Mkuu pesa ya mkopo/ bumu la chuo nila kukukimu kimaisha ukiwa unasoma na si kukuwezesha kuanza maisha,acha mawazo haya ya kimasikini masikiniTo be honest sipendi kuwa mnafiki huwa nasema kweli haswa juu ya suala la maisha nikizingumza kile ninachokiamini bila kutetereka wala kuogopa
Unasoma chuo kikuu na huna malengo ya maisha unatarajia tu kuajiriwa ofisi yenye kiyoyozi jua hatma inakuita
Una mkopo wa asilimia 100 na boom kama lote halaf huna cha maana unachokifanya na huna malengo unachezea tu pesa basi jua hatma inakuita mpendwa
Unasoma hujishughulishi unakula tu bata starehe sikatazi wala sipingi kula ujana sana ila uwe na malengo lakini unapata boom unakula tu starehe jua hatma inakuita!
Hatma ninini?
Hatma ni pale utakapomaliza chuo na boom limekata na ajira hakuna utapata anguko lenye kishindo cha 5g ulichezea pesa sana wewe sasa ni wakati wa kupata ulichokistahili asilimia 15% sijui na ile sijui ile 6% hapo maji utaita mma hatma itakutandika kisawa sawa
Hatma ni pale utakapomaliza utaishia huna hata mia starehe zote na bata zote kwishney hapo huna hili wala lile marafiki wamekukimbia na kukuacha njia panda ya ubungo kwenda mawasiliano
Hatma ni pale utakapomaliza chuo na kurudi kwenu huna chochote cha maana umerudi na na kiduku na cheni shingoni utadhani shule ulienda kusomea ujinga hakika ndo utaijua hatma ninini
Unarudi kwenu huna hili wala lile wazazi wako na ndugu wanaanza kukuchoka na kukuona mzigo hiyo ndo hatma mpendwa
Unarudi mtaani na degree yako hukufanya chochote boom lote la miaka 3 au minne hukufanya cha maana hapa duniani au kitu endelevu mtaa unaanza kukuchoka kikipotea kitu mtaani au tukio wanaanza kukusema huenda ni wewe "sio yule kweli?maana yeye ndo hukaa mtaa huu lazima atakua yeye ndo kaiba"hapo ndo utajua maana hatma ninini
Iogope sana hatma ,hatimaye kwani hii huamua na kuonyesha uliishia wapi, hatma ni hatari kuliko wakati wa sasa
Tengeneza msingi ukiwa chuo ili uweze kuwa na "hatimaye nzuri" badala ya "hatma mbaya"
Ndiyo n pesa ya chi, labda hujui boom ww! Ile pesa ya kula tu ukiwa chuon ndo maana inatolewa wakati wakati wa masomo pemeePesa ya chai?hahaaa??unaongea hayo umeshindia mihogo maskin
Nyie ni aina ya watu mnaojikweza mtandaoni lakini uhalisia hata kushika elfu moja mtihani