Unashughulika vipi na mpenzi au mwenza wako ambaye anapenda kukagua simu yako mara kwa mara?

Ndio maana nina kisimu changu cha tochi kwaajili ya kuchezea faulo huko, hakina V.A.R. Akija shemeji yenu nakificha ndani ya viatu au bafuni.

Juzi alikuja halafu nikaingia bafuni kuchat na pisi moja hivi mpya, nimeisave "Covid-19 Pro" yeye nimemsave "WUHAN-VIRUS", si nikajisahau nusu saa ikapita nipo bafuni tu, akaja kunigongea mlango kama tumevamiwa na majambazi au kama ananidai vile, kidogo anitoe roho mpaka simu nusu idondoke kwenye ndoo ya maji kwa jinsi mlango ulivyo bamizwa.

Akaniuliza kwa kufoka "Wewe mwanaume unaingia bafuni saa zima, unaosha nini huko"!!!. Nikamjibu kwa upole "VYOMBO".

Nikazuga naoga zangu, fasta nikatoka, namtafuta kumbe mtu alishasepa muda kweli, nakutana na sms "Asante kwa kuni save Wuhan-Virus". Nikajua simu yangu ya tachi imeshapigwa inspection ya kufa mtu na kibarua kushaota nyasi nshaachika, wala sikumtafuta tena mpaka leo.
Ahahahahhaha.
Ngoja takupa mbinu aje mwenyewe.
Wuhan virus means ni mzuri, mkali na hakuna mwingine zaidi yake
 
Ndio maana nina kisimu changu cha tochi kwaajili ya kuchezea faulo huko, hakina V.A.R. Akija shemeji yenu nakificha ndani ya viatu au bafuni.

Juzi alikuja halafu nikaingia bafuni kuchat na pisi moja hivi mpya, nimeisave "Covid-19 Pro" yeye nimemsave "WUHAN-VIRUS", si nikajisahau nusu saa ikapita nipo bafuni tu, akaja kunigongea mlango kama tumevamiwa na majambazi au kama ananidai vile, kidogo anitoe roho mpaka simu nusu idondoke kwenye ndoo ya maji kwa jinsi mlango ulivyo bamizwa.

Akaniuliza kwa kufoka "Wewe mwanaume unaingia bafuni saa zima, unaosha nini huko"!!!. Nikamjibu kwa upole "VYOMBO".

Nikazuga naoga zangu, fasta nikatoka, namtafuta kumbe mtu alishasepa muda kweli, nakutana na sms "Asante kwa kuni save Wuhan-Virus". Nikajua simu yangu ya tachi imeshapigwa inspection ya kufa mtu na kibarua kishaota nyasi nshaachika, wala sikumtafuta tena mpaka leo.

Habari za wakati huu wapendwa wanaJF, poleni kwa majukumu mazito ya kuitumikia Nchi yetu na kwa wale ambao mlikuwa na ibada leo hii, Hongereni..! Niende kwenye maada moja kwa moja.!

Mimi ni kijana wa kiume 29, nina mpenzi almost mwaka na miezi mitatu tuko kwenye mahusiano. Dada huyu kipindi cha awali alikuwa na anapenda sana kuchati kuwaita watu majina kama wapenzi na hiyo ilitokana na mimi mwenyewe siku moja kumwomba simu yake na hapo iliingia text ambayo ilinishitua nikaingia inbox . Nilifuatilia zile chats na nilichogundua ni kwamba yeye alikuwa anaita majina hayo bila kujali we una mahusiano au lah...! Labda huenda jamaa alikuwa anakula ....! Sikutaka kuchimba zaidi ya kile nilichokiona..! Tulizungumza na tukaelewana na kweli aliwambia marafiki zake na yeye pia aliachakuita majina hayo. Na baada ya hapo niliamua tu kutojipa pressure isiyo ya lazima nikaacha kushika simu yake na sitashika simu ya mpenzi wangu.!
Ni muda sana hatujatofautiana kwa sababu ya ishuya simu..! Basi leo kaja Ghetto kunisalimia,, Nikawa naangalia TV nayeye yupo namimi basi akaniambia naomba simu yako. Nikampa bila kusita akaniambia toa password (Nikaweka fingerprints ikafunguka).Akaanza kusoma text nilizochati na wadada zote na na akaomba aingie na whatsapp nikamfungulia akaenda. Kasoma text namtizama tu. Katika kusom akakuta text nime toa compliments kwa mdada ambaye honestly namkubali kwa hustle zake na nikamwambia (kwenye text, kwamba siku nikipata nafasi ya kuja Mwanza nitakutafuta nikuone) kesi ikawa kwamba nina mpango wa Kwenda mwanza so niende tu nikaonane naye huyo mtu. SikuongeA na nyingine tena kadada kalikuwa kameweka video ambayo ameitoa Tiktok ambayo ni account yake ...! Nikamsifia Mguu mzuri na pia nikamwambia una shepu na Mguu pia besti na imoji ya kuonyesha napongeza.
Ishu ya kumsifia huyu mdada ikawa kesi, akakomaa kama nimependa miguu yake si nimfuate huyo nayeye nimuache na pia akawa anasema kwahiyo namsifia Mdada kisa yeye ni shapeless (Maneno yake GF wangu) na anamguu mwembamba hauna Nyama..! Kitu ambacho mimi kila mara namsikiaga nikiwa nampiga picha... utasikia “piga kuazia juu hadi magotini chini ukate miguu yangu hii mibaya sitaki ionekane.! “ Na pia ana shepu nzuri namsifiaga mnoo na hips kama zote ila sasa ishu ya kumsifia Mdada wa watu kwamba anamguu mzuri yaani imeibua kesi sana. So nimemwambia sina maana kwamba nataka nimtongoze huyo mdada ila basi tu yeye haniamini dizaini fulani.
So mimi nakuja, tupeane busara na hekima za kushughulika na mpenzi anayekagua simu kiasi cha kukufanya ushindwe kuwa huru.! Tafdhari..! Naomba mnisaidie mawazo na share uzoefu wako kulingana na ishu ya simu au text zilivyoleta ugomvi na mlitatua vipi ???
giphy.gif
Mm mchumba wangu anaenda kukagua simu yng na akimaliza hapo lazima tugombane ila mm sm yk nilishapa sitoishika hata iweje
 
Dhambi ni tamu kama inakatazwa, mf, usizini. Maadamu umekatazwa Basi vya nje ya ndoa huwa vitamu sana, lakini wangesema mzini mpaka vikojoleo vipate nundu, kiwango Cha zinaa kingepungua mno.
Japan na baadhi ya nchi za Ulaya hulazimisha watu wanjunji, maana kiwango cha watoto Kiko chini sana, watu ndio hawataki kabisa kunyanduana.

Dawa ya tabia ya mke wako Ni kumuachia (kumpa) simu yako kila utokapo kuhangaika. Ukifanya hivyo kwa wiki moja tu atajiona ndezi.
Tena mpe kwa kumwambia darling nimekupa simu ili uipekue
Sawa, unaweza muachia, shida ni hizi
1. kwamba si wewe tu unayetongozwa, unaweza tongozwa kwa sms au emoji wakati simu anayo, ATAKUAMINI!?
2. Kuna matani yanayofanana na mapenzi. Maana huwezi kuwakataza watu wote wasikutanie kuhusu mapenzi. Ukitaniwa ataelewa!?
3. Kama ambavyo yeye anawasifia wengine, na yeye anaweza akawa na kitu, mwingine ajasifia, ATAELEWEKA!?
4. Kuna sms au picha huwa tunatumiana ambazo zine maudhui ya kimapenzi ingawa nyie siyo mapenzi, AKIZIONA atalewa..!?
5. Kuna watu ambao kwanza wako anawajua kwa tabia za mbaya kwenye mapenzi, lakini wewe huku na kwa namna moja au nyingine unawasiliana nao, akikutana na sms au simu ya huyo ATAELEWA!?

UKWELI NI KWAMBA KUMWACHIA SIMU SI ALAMA NZURI YA UAMINIFU, WENGINE WANAFUTA KABLA
 
Ulikosea tangu mwanzo na vijana wengi Sana hi point wanaruka lkn ni point moja muhimu Sana .

Unapo kuwa mwanaume na unatafuta mke unatakiwa uvae sura ya kuwa baba mtarajiwa hivyo basi sura zote mwanamke wako azione .

Sasa vijana wengi wanajifanya maromantiki sijui ma truu lavu na uchafu mwingine kutwa kucha wamekenua meno Kama ngiri eti ndio smaili sijui .

Matokeo yake mwanamke anakuzoea kupita maelezo na siku zote mazoea huleta dharau.

Mfano . Utakuta familia nyingine hata mtoto tu akigusa kitu flani mama anamuambia hiyo ya baba basi mtoto huacha haraka na hata mke mwenyewe katengenezewa mazingira hayo kitu ambacho hajakabiziwa Wala hakishobokei . Hivi unarhani hii heshima inakuja tu kwa sababu wewe ni jentromeni.

Train your woman kukutofautisha na mashost zake . Ndio maana saizi wanaume wengi wanachambana na wake zao yote hiyo ni kwa sababu asha kuona hauna tofauti na mashost zake. Na hauna sauti juu yake ila ukimtrain vizuri wewe no kutoa maagizo tu ... Kama anapointi za kuongezea utamsikia anakuja kwa heshima na nidham na kukuita baba,mme wangu ...alafu anaendelea na point zake na akimaliza utamsikia au wewe unaonaje ...? Bado uwanja wa kumtawala na kumuongaza anakuachia .

sasa upo na mke wako nae anasema Mimi nimesema .....

Mwanamke mkochi tangu mwanzo...na siku zote unavyo tafuta mke ni tofauti na unavyo tafuta demu ....vijana ishini na hii
 
Babu umemaliza yote changamoto mambo kwa ground yanabadilika, vijana wanaenda na notes afu wanasahau yote
 
ila una point nzuri sana.
 
Mm mchumba wangu anaenda kukagua simu yng na akimaliza hapo lazima tugombane ila mm sm yk nilishapa sitoishika hata iweje

Hapo dawa nikutoshikiana simu tu, hakuna jinsi sasa .! Ni kazi sana haya mambo
 
Sawa, unaweza muachia, shida ni hizi
1. kwamba si wewe tu unayetongozwa, unaweza tongozwa kwa sms au emoji wakati simu anayo, ATAKUAMINI!?
2. Kuna matani yanayofanana na mapenzi. Maana huwezi kuwakataza watu wote wasikutanie kuhusu mapenzi. Ukitaniwa ataelewa!?
3. Kama ambavyo yeye anawasifia wengine, na yeye anaweza akawa na kitu, mwingine ajasifia, ATAELEWEKA!?
4. Kuna sms au picha huwa tunatumiana ambazo zine maudhui ya kimapenzi ingawa nyie siyo mapenzi, AKIZIONA atalewa..!?
5. Kuna watu ambao kwanza wako anawajua kwa tabia za mbaya kwenye mapenzi, lakini wewe huku na kwa namna moja au nyingine unawasiliana nao, akikutana na sms au simu ya huyo ATAELEWA!?

UKWELI NI KWAMBA KUMWACHIA SIMU SI ALAMA NZURI YA UAMINIFU, WENGINE WANAFUTA KABLA

Eeeeh ...! Kuna watu wanafuta text alfu anakuwa amemu inform mchepuko asitext au kupiga simu.! Haya mambo Mtihani
 
Yaani uaminifu haupimwi kwa simu peke... nature ya binadamu, akifuatiliwa hata kama hana kosa ITAMSUMBUA SANA ... Binadamu tunataka uhuru

Uhuru ni muhimu sana alfu ibaki yeye mwenyewe aamue kubaki mwaminifu au achepuke na huwezi mzuia mtu kuchepuka akiamua
 
Dawa ni kutoshika simu ya mwenzio
Dawa ni uaminifu tu.

Usichepuke. Asichepuke.

Na kama hakuna cha kuficha, basi hakuna tatizo lolote lile endapo mwenza wako atashika simu yako.

Lakini kama unapatwa na homa pindi mwenza wako aishikapo simu yako, basi ni vyema ukajifanyia tathmini kama kweli uko mwaminifu na huna cha kuficha.

Honesty is the best policy.
 
Ulikosea tangu mwanzo na vijana wengi Sana hi point wanaruka lkn ni point moja muhimu Sana .

Unapo kuwa mwanaume na unatafuta mke unatakiwa uvae sura ya kuwa baba mtarajiwa hivyo basi sura zote mwanamke wako azione .

Sasa vijana wengi wanajifanya maromantiki sijui ma truu lavu na uchafu mwingine kutwa kucha wamekenua meno Kama ngiri eti ndio smaili sijui .

Matokeo yake mwanamke anakuzoea kupita maelezo na siku zote mazoea huleta dharau.

Mfano . Utakuta familia nyingine hata mtoto tu akigusa kitu flani mama anamuambia hiyo ya baba basi mtoto huacha haraka na hata mke mwenyewe katengenezewa mazingira hayo kitu ambacho hajakabiziwa Wala hakishobokei . Hivi unarhani hii heshima inakuja tu kwa sababu wewe ni jentromeni.

Train your woman kukutofautisha na mashost zake . Ndio maana saizi wanaume wengi wanachambana na wake zao yote hiyo ni kwa sababu asha kuona hauna tofauti na mashost zake. Na hauna sauti juu yake ila ukimtrain vizuri wewe no kutoa maagizo tu ... Kama anapointi za kuongezea utamsikia anakuja kwa heshima na nidham na kukuita baba,mme wangu ...alafu anaendelea na point zake na akimaliza utamsikia au wewe unaonaje ...? Bado uwanja wa kumtawala na kumuongaza anakuachia .

sasa upo na mke wako nae anasema Mimi nimesema .....

Mwanamke mkochi tangu mwanzo...na siku zote unavyo tafuta mke ni tofauti na unavyo tafuta demu ....vijana ishini na hii

Uko sahihi sana Mkuu.! Ahsantee kwa mawazo
 
Dawa ni uaminifu tu.

Usichepuke. Asichepuke.

Na kama hakuna cha kuficha, basi hakuna tatizo lolote lile endapo mwenza wako atashika simu yako.

Lakini kama unapatwa na homa pindi mwenza wako aishikapo simu yako, basi ni vyema ukajifanyia tathmini kama kweli uko mwaminifu na huna cha kuficha.

Honesty is the best policy.

Faithfulness.
 
Back
Top Bottom