Unashughulika vipi na mpenzi au mwenza wako ambaye anapenda kukagua simu yako mara kwa mara?

Huyo ni tatizo ana kisirani, cha msingi ni kumwambia ukweli kama ulivyofanya kama hakueliwi ujue hata ukimchukua hatakuelewa na kelele na visirani havitaisha, na utakua mwanzo wa matatizo kwenye nyumba, chukua hatua mapema.

Umeelezea vizuri mzee
 
  • Thanks
Reactions: Lob
Sijawahi na sitowahi kuja kagua simu ya mwanamke...

Kama ana mambo yake meusi, ila hajawahi kunionesha, wala sijawahi kumshuhudia naweka imani ni msafi...
 
Bana siku iyo nimemsave manzi angu mwingine mweye kishundu juu ya screen zote had ktk wasap chat saver, nikakutana na manzi angu mwingine akataka simu wakati inavizibiti vyote walai sikumpa tena ndo nikaitia mfukoni
 
Back
Top Bottom