Unasema Steve Nyerere ana kimbelembele? Hujakutana na Mwijaku wewe

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
Baada ya vita kali ya kumkataa mnafiki namba moja ambae kimsingi sio msanii wala hana kipaji chochote ila ni mtoto wa mjini anaejua kucheza na nyakati huku hapepesi macho bwana Steve Nyerere ,Hatimaye mdomo umemkatika ,Wakwanza kumuumbua alikuwa mama wema baada ya kuanika maongezi yao ya faragha yaliyohakikisha kwamba kumbe jamaa hutumia ukaribu wake na wanasiasa kufanikisha mambo.

Kiumbuko kilicho mmaliza ni kile cha kuwa mbele kwenye misiba huku wasanii wenzie wakimtuhumu kuwa ana maslahi ya kifedha baada ya hili bomu jamaa amekuwa mkimya na kimbelembele kimekata.

Lakini sasa tunalo! Ameibuka jamaa anaitwa Mwijaku ,ok wengi hamumjui picha hii:

1547968520138.png

Hichi kijamaa sas hivi ndo amekuwa Mr Right asione jambo lina trend mjini basi ataita media na kutoa maoni yake kama vile yeye ndo gold standard ya kila kitu ,yaani kama kajipa uongozi hivi (Nyerere flani amaizing ) Nisikuhshe ingia youtube andika jina lake li search kila crip itakuboa .
mfano

View attachment 999919

dah huyu jamaa ana kiherehere kama mke wa mgambo wa kijiji.
 
Umeweka Crips bado The Blood and KKK.
 
Kaacha umalaya siku hizi toka avute jiko kaharibu (kawatafuna sana) sana watoto wakike waliokuwa wakijipeleka THT na kudai wana vipaji vya kuimba, modeling n.k
 
Huyu mshkaji tulikuwa tunakunywa nae sana kb pub tegeta alikuwa anamgonga kaunta flani pale siku hz naona kaondoka. Yule kaunta akifunga anaenda nae kibo then anaenda kumgonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom