Unarudi home usiku mwingi, unamkuta mwenzako katika hali hii..!

wifi kumbe unataka yeye anipe presha mimi? Sijamzaa, asinizeeshe. Nakuamvia navaa na nightie ya uchukozi ki-silky cha maana urefu haufuniki kalio lote. Akiingia wasiwasi kama fundi cherehani, na simuangalii usoni na aibu za kike as if im guilty. Usmuambie ntakunyonga wifi!

Hahahahahaha wifi hujiwezi

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Lol! Mi ukichelewa utanikuta na bonge la smile, with my fav cologne on and a beautiful nightie on. Nakuachia maswali ujijibu mwenyewe (homework)
Was she out as well?
If not why is she so happy?
Is she cheating on me?
Kesho ukitoka job unakuja mbio kukaba!
Dena Amsi, nimekumisi ujue!

Hii nimeipenda hata mm. crudii tenant
 
Last edited by a moderator:
wifi kumbe unataka yeye anipe presha mimi? Sijamzaa, asinizeeshe. Nakuamvia navaa na nightie ya uchukozi ki-silky cha maana urefu haufuniki kalio lote. Akiingia wasiwasi kama fundi cherehani, na simuangalii usoni na aibu za kike as if im guilty. Usmuambie ntakunyonga wifi!

oooh my my my...........!hivi kwani leo juma ngapi vile?walahi lazima nimtoroke mkoloni huku mkoani niende zangu daslam usiku huu....!ila likinipata la kunipata zambi zako mwenyewe dadangu,meseji gani hii unaposti sasa wakati wengine tuko mbali!!!?
 
Mkuu Mtambuzi hizo scenario zote hapo juu ni manageable! ... maana ata-complain & mtafikia amicable solution!Issue ukimkuta yupo hivi ...
angry-woman.jpg
hapa yaani soo, ni kugeuka nlipotoka tu
 
Back
Top Bottom