Unarudi home usiku mwingi, unamkuta mwenzako katika hali hii..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unarudi home usiku mwingi, unamkuta mwenzako katika hali hii..!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtambuzi, Sep 23, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  Lazima Kitanuka tu..................
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,868
  Trophy Points: 280
  Yupi atakinukisha...wewe au yeye?
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Aliyerudi usiku mwingi lazima kimnukie mazima......
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,858
  Likes Received: 5,105
  Trophy Points: 280
  why till now he aint at home? Is he with another woman,why isnt he picking my calls?
  Is he in trouble?
  Why late does he know am alone at home?
  Kwa hayo maswali ukifika lazima ujibu tena usipoangalia kwa wale mabaunsa lazima useme
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,287
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Utakuta umeandaliwa mkao wa kula...wala haina nouma. Mbona kawaida tu huku kwetu Afrika!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  wee ukinikuta hivi....pitiliza moja kwa moja ukalale........coz kukesha itakuwa ni jambo lililotarajiwa......
   
 7. N

  Neylu JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,645
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Akifululiza kwa wiki mbili anarudi usiku wa manane mwishowe unazoea hali...! Akirudi ndio kwanza anakukuta nawe unakoroma zako huna hata muda nae..! Maisha yanasonga..! Lol
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,240
  Likes Received: 22,868
  Trophy Points: 280
  And how about if tables were to be turned...?
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa zamani bana..... chezea kizazi cha akina Kipipi weye...LOL
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,287
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Hawa hawa ndege wajanja? Wala usiseme maana huwa nashangaa bado yanaendelea yale yale ya kale? tena wako fasta fasta ndio wazuri Mtambuzi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. C

  Cha-phile Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo lazma utoe maelezo ya kutosha ulikuwa wap, na nan, why umechelewa kurud?
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Mbona simu yako ilizimwa?
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Kwa nini uzime simu hata kama umeenda kwenye ma-deal fake?

  Halafu kwa nini usiache umejibu maswali yake?

  Kama hukupatwa na ajali, naona matatizo mengi niya kujitakia kwa kweli!!

  Babu DC!!
   
 14. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,915
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mkuu Mtambuzi hizo scenario zote hapo juu ni manageable! ... maana ata-complain & mtafikia amicable solution!

  Issue ukimkuta yupo hivi ...
  [​IMG]
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,536
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  ha ha haaaa!!! hiyo ni inaitwa patashika nguo kuchanika...ni vumbi linapanda juu ya lami...ugomvi balozi hawezi kuamua.
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,858
  Likes Received: 5,105
  Trophy Points: 280
  :y o:
  mmmh kama ndo hiyo gun basi yena na salenda
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapa lazima Kova atengeneze filamu tu...
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160

  Hapa inabidi mtu uwe mpole na uombe ageuke kichaa ili walau akupe sekunde 10 za kupiga ishara ya msalaba!!
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,265
  Likes Received: 4,245
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaaaa mie heri umkute hivyo kuliko umkute kamelala....... Ujue ukipanda kitandani ndo ataamka...... halafu ndo alianzishe
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Lol! Mi ukichelewa utanikuta na bonge la smile, with my fav cologne on and a beautiful nightie on. Nakuachia maswali ujijibu mwenyewe (homework)
  Was she out as well?
  If not why is she so happy?
  Is she cheating on me?
  Kesho ukitoka job unakuja mbio kukaba!
  Dena Amsi, nimekumisi ujue!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...