kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,102
- 15,950
Jk alikua anacheka cheka!
Sio hospitali tuu bali kwenye viroba vinavyo elea Coco beach.Makamanda mmeiona seriSeri eh? Chezeni tuje tuwatembelee hospital
Unatubu kwa ajili ya marehemu mhhh we hatari, Mungu gani husikia toba hiyo!!!?Mtatuma sana hizi picha lakini watanzania wametuma ujumbe mzito kwenu na kwa wafadhili wenu.
Tanzania sio Misri, Congo, Syria, Libya, Tunisia, kenya au Iran.
Mungu ana sababu na amani iliyopo Tanzania, ni kwa makusudi tumekuwa na amani, ili hapa kwetu liwe kimbilio la watu waliovuruga tunu za taifa lao.
Mungu amsamehe dhambi zake zote na kumpuzisha pahala pema Baba wa Taifa J. K. Nyerere kwa kutujengea msingi imara wa taifa la umoja lililo imara.
HahahahaHakuna lolote mnajifariji,
Hapa ulipo unafanya nini?, umezibwa mdomo?, huu ujinga utawatoka lini vichwani Mwenu?, pumbavu sanaHii haijapata kuonekana dunia nzima. Sisi ni zaidi ya Hitler au utawala wowote wa kifashisti uliopata kutokea. Hongera kwa Watanzania walio amua kuacha kutumia njia halali ya maandamano maana kesho kungekuwa na msiba mkubwa nchini kuliko ule wa MV Bukoba.
View attachment 756882
Bado wakati ina maana tarehe 26 April, 2018 bado haijafika Au team Mange mna kalenda yenu?
Tunasubiri 26.4.2020...hope dada atakuwa bado hai
JK alionewa sana kwa huu upuuzi wa siasa za maandamano na operations zisizokuwa na mwisho. Kila baada ya mwezi nchi ilikuwa majaribuni kupitia maandamano.
Kazi ya watu ikawa ni kujipanga na kusikiliza siasa za juani saa kumi jioni, wakati nchi yenyewe ni masikini kwa maana halisi.
Awamu ya tano imejifunza kupitia makosa ya ile ya nne, lazima nchi iwe na nidhamu, haiwezekani tuendelee kufanana na kambale, kila mmoja ana ndevu kuanzia Baba mpaka mtoto wa mwisho.
Huenda tumeridhika. Alafu wastaafu waje walie lie kwenye mitandao mara hatujalipwa stahiki zetu mar oooh, wafanya biasha kodi kubwa bandari ushuru mkubwa.Raia wakiamua hakuna Jeshi la kuwazuia - Da Mange
Raia hawajaamua Mbona Libya walipoamua Ghadafi hakuweza kuwazuia
Aisee leo nimekungoja siku nzima utokee tuandamane kumuunga mkono da'Mange lakini kumbe ulikuwa umeufyata? Eti saa hizi ndio unatokea mtandaoni na vijimaneno vya kujifariji, ha ha ha.Hii haijapata kuonekana dunia nzima. Sisi ni zaidi ya Hitler au utawala wowote wa kifashisti uliopata kutokea. Hongera kwa Watanzania walio amua kuacha kutumia njia halali ya maandamano maana kesho kungekuwa na msiba mkubwa nchini kuliko ule wa MV Bukoba.
View attachment 756882
Huna lolote poleHii haijapata kuonekana dunia nzima. Sisi ni zaidi ya Hitler au utawala wowote wa kifashisti uliopata kutokea. Hongera kwa Watanzania walio amua kuacha kutumia njia halali ya maandamano maana kesho kungekuwa na msiba mkubwa nchini kuliko ule wa MV Bukoba.
View attachment 756882
Gadaffi alivamiwa Na mataifa zaidi ya sita, sio RAIA wa Libya.Over!!Raia wakiamua hakuna Jeshi la kuwazuia - Da Mange
Raia hawajaamua Mbona Libya walipoamua Ghadafi hakuweza kuwazuia
Jamaa wanajua kujifariji hawa balaa aisee.Raia wakiamua hakuna Jeshi la kuwazuia - Da Mange
Raia hawajaamua Mbona Libya walipoamua Ghadafi hakuweza kuwazuia