Unapoulizwa swali jibu swali kisha uliza swali na wewe

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
13,462
21,945
Mama mchungaji alikuja katika mkesha wa wanaume akiwa na vazi ambalo hata maparoko hawaruhusu waumini wao kuvaa hivyo, mama mchungaji alipiga picha katika vazi hilo kisha alipost mtandao wa kijamii.

Mpendwa mmoja alimuuliza swali mama mchungaji "kwanini umevaa suruali"?

Mama mchungaji naye badala ya kujibu swali yeye naye akauliza swali "wewe unaniuliza kama nani "

Kiukweli mama mchungaji alipaswa atoe jibu na sio kuuliza swali juu ya swali.

Haipendezi uulizwe swali na ukwepe jibu kwa kuuliza swali.
IMG_20200701_113705.jpg
IMG_20200701_113552.jpg
IMG_20200701_114813.jpg
 
Huyo mama ni mpumbavu sana tena nimemshusha thamani huyo sio mama mchungaji huyo ni mwizi tena mla sadaka za waumini, haiwezekani ulizwe swali ujibu kihuni hivyo, Fala sana
 
Huyo mama ni mpumbavu sana tena nimemshusha thamani huyo sio mama mchungaji huyo ni mwizi tena mla sadaka za waumini, haiwezekani ulizwe swali ujibu kihuni hivyo, Fala sana
Hakuna pastor duniani asiye kula ktk sadaka hivyo usimuhukumu kuwa ni mwizi wa sadaka bali muhesabu kama mmoja wa watumishi wa Bwana duniani.

Ulimi wake ni moto uwezao kuchoma pori hii ndiyo shida yake Kuna wambea wengi sana hasa wanawake wanamwamini na kumfuata ktk mafundisho yake ila wengi wao walishashindwana na waume zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom