Unapositisha ghafla mkataba wa Fixed Account na Benki,hakuna penalty unayopigwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Unapoamua kufungua fixed account na benki ni sawa kabisa na kuingia mkataba wa kibiashara na benki husika.

Kwakuwa account ya aina hii ni kama mktaba,mteja unapoamua kusitisha mkataba huu hutozwi penalty yoyote?

Katika hali ya kawaida,ni rahisi kusitisha account za aina hii?

Kama kuna penalty(may be kukatwa asilimia fulani ya hela ulioweka) hasara hii anailipa nani?

Wataalamu mtusaidie.
 
Ha ha ha! Unaxiwazia zile Bil kadhaa za TRA? Pale lazima tuliwe kama bilioni 2 hivi penalty ya kuvunja mkataba kama utavunjwa.
Hii inaitwa kukurupuka style hasara sio ajabu
 
Ha ha ha! Unaxiwazia zile Bil kadhaa za TRA? Pale lazima tuliwe kama bilioni 2 hivi penalty ya kuvunja mkataba kama utavunjwa.
Hii inaitwa kukurupuka style hasara sio ajabu
Ok..mbona kama b2 ni nyingi sana! Mchanganuo wake tafadhali
 
Unapositisha mkataba wa FD,hakuna penati zaidi ni kutopata ile riba ambayo ilikuwa uipate pale FD itakapoiva.

I stand to be corrected hapo.
 
Back
Top Bottom