Unapopata message ya BAN humu jamvini huwa unajisikiaje?

Si nia yangu kujua alichokukorofisha, bali ni kutaka kumuombea radhi kwa hilo .
Kwani huyu kwa sasa anatakiwa awe ametakata na bifu zote za Jeief.
Anazaliwa upya soon !.
Mwambie asituchafulie mazingira kwa bi harusi wetu
 
Hivi huwa inauma eeh?
Inauma we acha tu, usiombe yakukute...

mie nililimwa ya siku 7 nikadhani miezi 6, unaishia kusoma kama guest, kuna wakati unajisikia kuchangia ila huwezi lol, mpaka leo sina hamu na jukwaa la siasa...
 
Namshukuru mungu haijawahi nipata,na combei!hv hua wanatoa onyo kwanza ndio watoa hiyo ban au inakuwaje kuwaje!
 
Inauma we acha tu, usiombe yakukute...

mie nililimwa ya siku 7 nikadhani miezi 6, unaishia kusoma kama guest, kuna wakati unajisikia kuchangia ila huwezi lol, mpaka leo sina hamu na jukwaa la siasa...

Ulifanya kosa gani? tuambie na sisi yasitukute.
 
Well,
Kama huna kazi ni huzuni kwa kwenda mbele.
Lakini kama uko busy wala hata haisumbui kabisa. Honestly hizi ban ni nzuri saa nyingine.
 
well,
kama huna kazi ni huzuni kwa kwenda mbele.
Lakini kama uko busy wala hata haisumbui kabisa. Honestly hizi ban ni nzuri saa nyingine.

mmmh haya bana! Kumbe jela inakuwa mzuri saa nyingine?
 
Ulifanya kosa gani? tuambie na sisi yasitukute.
Wewe siwezi kurudia kuandika hapa! Tulipishana maneno na Rejao na bahati nzuri tulifungwa wote....

Tukakutana jela, tukasameheana huko huko jela...mpaka leo tumekuwa marafiki, nzuri zaidi kumbe ni braza angu mtoto wa shangazi, sema hizi id za jf hatukujuana lol..
 
Naskia harufu ya uongo uongo. jela gan iliwakutanisha wakat wote mlpgwa Ban humu Jei Efu? Au mlitengeza IDS nyngne?
 
Back
Top Bottom