Unapoondokewa (kufiwa) na wazazi wako

Poleni sana wakuu,,,I know how it feels,,, I lost my father some years back,,, nimelelewa na mama peke yake.. Kusema kweli nime experience sana pengo la baba although my mother alicover sana financially,,,, nikikumbuka mengi sana tuliyopitia after we lost him najisikia vibaya sana..

I feel bad when I see my mother sick without dad to look at her, I have to cover dad"s part myself as a man, but najua yatakwisha na Mungu atamponya kabisaa akirud as she is in india by now for tratments
 
Well, what do I say....
Pole sana snowhite.....
Kuna wakati natamani sana kufanya jambo kwa ajili ya mama...but in vain!
Nawaonea wivu wenye mama zao asee....

nilipokuwa naisoma hii post nimekumbuka mambo mengi sana P,those days tunakua the way nlikuwa namwona mzee K akiongozana na mama kanisani na rozali zao mkononi!nimelia kusema ukweli!wazazi wako wanapenda sana kusali mke mwenza no wonder una imani kubwa kiasi hiki! I LOVE YU SIS!
mi wazazi wote hawapo ! RR naomba nikudese mstari wako! I LOST HIM NIKIWA VERY YOUNG KIASI SIKUONA TOFAUTI
I LOST HER NIKIWA NAJIELEWA KIASI SIWEZI KUSAHAU MAUMIVU YAKE!dah!acheni jamani!mlio na wazazi wenu muwapende na kuwaenzi sana jamani!wenzenu tunatamani sana tungekuwa nao sasa tuweze kuwashower na haya tuliyonayo!mi huwa kila nikiona suti nzuri ya kimama huwa namuimagine mama yangu angekuwa ameivaa baada ya mimi kumnunulia na kumpelekea nyumbani kwake yani ile makelele flan hivi "mum check nimekulipuaje leo!''
DAH! i miss them badly!sana jamani!
 
Last edited by a moderator:
Well, what do I say....
Pole sana snowhite.....
Kuna wakati natamani sana kufanya jambo kwa ajili ya mama...but in vain!
Nawaonea wivu wenye mama zao asee....
we acha tu!unajua how it is btwn a mum na binti mkubwa hivi enh!zile mnakaa unashare nae vitu,mnapelekeana nguo kwa fundi,sijui una emergency hivi unamuachia mtoto wako,au wengine husafiri kabisa na mama zao kaama wanapata safari na wana watoto wadogo,ile umekuta handbag nzuri,suti nzuri,au kitenge au neckalace ya kimama huwa natamani sana angekuwepo sasa niweze kumfanyia yote haya!
kuna siku kulikuw na mother daughter gala sijui pale mlimani city,lile tangazo lao nilikuwa natamanije mama yangu angekuwepo nimlipie niende nae!ah acha tu my dear!
 
yani hapa najikuta natokwa na machozi tu da yani mimi nakosa rahasana hasamy beloved mama na mzee wangu huwa naumia sana yani sijui nisemeje hapa . japo kazi ya MUNGU haina makosa. R.I.P my dears i always miss you
 
Dah! Nina rafiki yangu alifiwa na baba yake, na Jamaa tayari alishakua mtu mzima... Jamaa alilia na kuomboleza sijawahi kuona. Alilia mpaka akajigaragaza chini. I guess walikua karibu sana na baba yake. Mi sina ukaribu wowote na baba yangu, na hii ni kwakua sijaishi nae. Nadhani uchungu Wa kufiwa au kuuguliwa unategemea mahusiano Kati yenu.
 
Mama yangu kipenzi alifariki nikiwa namiaka 14 ndio nimemaliza drs la 7 ilikuwa kwenye ajali mbaya sana ya gari ambapo msure alinusurika ila aliumia vibaya sana , na hata hakuambiwa mapema kama wife wake( mama yetu) kama amefari tulienda kumuhifadhi mama yetu hata baba alikuwa hajui na alikuwa hoi hospitali na presha ilikuwa imepanda nililiaje manake mama ndio alikuwa kila kitu baba alikuwa mkali ile kishenzi shida zote tulikuwa tunamw ambia mama, life ilichenji sana ikabidi na msure abadilike aanze kuwa karibu na sisi na kututoa out, Any way baba yetu alitupenda sana na alikuwa anajiuliza ingekuwaje kama na yeye angefariki kwenye hiyo ajali. Tuliishi na baba yetu vizuri kwa miaka 10 mbele na yeye alikuja kufariki baadae mimi wakati huo nikiwa mwaka wa 2 chuo kikuu. Nilihudhunika sana na kufikiria maisha yatakuwaje manake baba alikuwa ndio kila kitu kwangu. Pamoja na kwamba ni muda mrefu umepita tokea kuondokewa na wazazi wangu 1994 na 2004 bado nawakumbuka sana i wish wangekuwepo kuona ninayoyafanya sasa, naamini wangekuwa msaada mkubwa sana kwangu. Mungu awaweke mahali pema peponi wazazi wangu na marehemu wengine wote . Kuondokewa na wazazi ni pigo kubwa sana duniani uwe mtu mzima au mtoto mdogo
 
Thank alot kwa mwanzisha mada at least i can share the xperience, i lost my DAD when i was 7 imagine nilikuwa mdogo sikujua chochote hapo '95 hiyo, zen my mom nikiwa 11 hapo '99. Unajua the worst part? mm mtoto wa kiume nimestruggle n hustle mpaka leo nimemaliza university degree lakini the worst part ni pale nilipomuona my big sister anapotea just because our guardian angels wametangulia mbele za haki (am talking about parents). then my baby sister nusu afate mkondo wa dada'ake lakni thank God kidogo anaelewa nn maana ya shule na anasoma. Guys hii thread imenitoa machozi kwakweli, koz at 1 TIME in life unabaki unasema laiti baba angekuwepo dada asingekosa school fees, laiti mama angekuwepo dada asingepatwa na maswahibu haya na haya. KUNA KIPINDI HUWA NINALIA SANA BUT NAHISI SIO SOLUTION, najua kuna watu watabeza eti mtt wa kiume upaswi kulia, GUYS EVEN EVEN CRIES.
JAMANI KUPOTEZA MZAZI WHETHER U'RE AN ADULT OR YOUNG, IS LIKE CONTACTING A NON-TREATABLE LIFETIME DISEASE U JUST HAVE TO LIVE WITH IT, CRY, LAUF, SCREAM, KICK SOMETHING IT ALL REDUCE THE PAIN BUT IT NEVER CURES IT. POLENI WOTE MLOPITIA THIS HORRIFIED LIFETIME XPERIENCE, ALUTA CONTINUA
 
pole my dear! umeniliza tena! am speechless TUMUOMBE MUNGU TU! YOTE YATAKUWA SAWA, TUWAOMBEE PIA WAZAZI WETU WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI!! WAPUMZIKE KWA AMANI, amen!
 
nilipokuwa naisoma hii post nimekumbuka mambo mengi sana P,those days tunakua the way nlikuwa namwona mzee K akiongozana na mama kanisani na rozali zao mkononi!nimelia kusema ukweli!wazazi wako wanapenda sana kusali mke mwenza no wonder una imani kubwa kiasi hiki! I LOVE YU SIS!
mi wazazi wote hawapo ! RR naomba nikudese mstari wako! I LOST HIM NIKIWA VERY YOUNG KIASI SIKUONA TOFAUTI
I LOST HER NIKIWA NAJIELEWA KIASI SIWEZI KUSAHAU MAUMIVU YAKE!dah!acheni jamani!mlio na wazazi wenu muwapende na kuwaenzi sana jamani!wenzenu tunatamani sana tungekuwa nao sasa tuweze kuwashower na haya tuliyonayo!mi huwa kila nikiona suti nzuri ya kimama huwa namuimagine mama yangu angekuwa ameivaa baada ya mimi kumnunulia na kumpelekea nyumbani kwake yani ile makelele flan hivi "mum check nimekulipuaje leo!''
DAH! i miss them badly!sana jamani!
umeniliza tena! umenikumbusha mbali sana, wazazi wetu walitupenda sana na kutufundisha HOFU YA MUNGU MAPEMA MNO!, ulikuwa mdogo kwangu kidogo nakumbuka, sikujua kama ulikuwa umeshafiwa na both parents, pole sweetheart, ndiyo hivyo tena, mama anaumwa, ila ni fighter na hakati tamaa, anakaa ICU wanaondoka wengine ye yupo tu, anaumwa mpaka mnakata tamaa, LAKINI MAMA BIKIRA MARIA ANAMPIGANIA MUDA WOTE, AMEMUAHIDI HATAMUACHA!! namuombea apate ujasiri wa kuvulmilia yote mpaka mwisho!! pamoja sana snowhite!
 
Last edited by a moderator:
hii thread IMENILIZA, NA WOTE MLIOCHANGIA! i have both parents though my mama is seriously sick huu ni mwaka wa 3! hawezi kuongea anaongea kw ishara na akihuzunika au kama kuna kitu kinamuuma hulia! my dad is ONE in a million man! kila anapokwenda huenda na mama, kabla ya kwenda kazini anahakikisha mum kapewa dawa, chakula etc, labda tu niseme kuwa hata kula mum hali kwa mdomo ana mwaka wa tatu pia, amewekewa tube TUMBONI, SO KILA KITU KINAPITA KWA TUBE!

NIMESHALIA SANA, NIMESHAKUWA SUGU, NAMUOMBEA UJASIRI WA KUVUMILIA YOTE NAIOMBEA PIA FAMILIA YANGU TUSHIKAMANE KATIKA KIPINDI HIKI CHA KUMUUGUZA MAMA MPAKA HAPO MUNGU ITAKAPOMPENDEZA KUMPONYA KABISA!

SIJUI NI KWA NINI, ILA NINA IMANI KUBWAAAAAAA KUWA ATAPONA KABISA! ATAKUJA KUONGEA NA KUWA MZIMA TENA!! poleni wapendwa wote mliopoteza wazazi,. HAKIKA INAUMA SANA, I CAN IMAGINE WHAT U HAVE BEEN THROUGH!! MUNGU WETU AWAPE FARAJA, ATUPE NA SISI MAISHA MAREFU, ILI tuweze kuwalea watoto wetu mpaka wawe wakubwaaaaaaa, na wajukuu TUWAONE! amen!
cacico, mm ninasema hivi

najuta kuufungua uzi huu. toka jana nilikuwa naukwepa sijui nn kimenivuta kuufungua. NAJUA UNAJUA KWAMBA NI MIONGONI MWA WANAOSALI JUU YA MAMA YETU KILA SIKU. kwasababu hiyo nakusihi usikate tamaa wala kuvunjika moyo, pili mshikeni sana baba, mm humwita baba Yesu. sijawah kumwona baba kama huyu toka nizaliwe. Anahitaj zaid sapoti yenu moraly na pia anapenda kuona mnafuraha ingawa mnapita pagumu. Kama aliweza kukusaidia ulipopata janga la nyumba ni wazi kwamba hakuangalia anashida gani bali aliangalia furaha yako, ambayo anaamini kabisa mama yako anatamani kuiona unayo.

Hakikisheni kwamba nyie mnaish kwa upendo na ndugu na waume zenu na familia zenu ili baba aone amani nafsini na huo ndio ushindi wa mama. Mungu wa Yakobo akuinue, akutumie msaada toka patakatifu pake.
 
Last edited by a moderator:
nilipokuwa naisoma hii post nimekumbuka mambo mengi sana P,those days tunakua the way nlikuwa namwona mzee K akiongozana na mama kanisani na rozali zao mkononi!nimelia kusema ukweli!wazazi wako wanapenda sana kusali mke mwenza no wonder una imani kubwa kiasi hiki! I LOVE YU SIS!
mi wazazi wote hawapo ! RR naomba nikudese mstari wako! I LOST HIM NIKIWA VERY YOUNG KIASI SIKUONA TOFAUTI
I LOST HER NIKIWA NAJIELEWA KIASI SIWEZI KUSAHAU MAUMIVU YAKE!dah!acheni jamani!mlio na wazazi wenu muwapende na kuwaenzi sana jamani!wenzenu tunatamani sana tungekuwa nao sasa tuweze kuwashower na haya tuliyonayo!mi huwa kila nikiona suti nzuri ya kimama huwa namuimagine mama yangu angekuwa ameivaa baada ya mimi kumnunulia na kumpelekea nyumbani kwake yani ile makelele flan hivi "mum check nimekulipuaje leo!''
DAH! i miss them badly!sana jamani!

Jembe languuuu, nakuaminia best. Najua inaumaiza but ndo maisha yalivyo. tuzidi kusali ili sisi tuli hai leo tuish tuwalee wanetu hadi wawe watuwazima kama sisi.Uzuri Mungu anajua unahitaj faraja ya aina gani.
 
thanx msiri wangu, thanx alot!! YAP KAMA ULIVYOSEMA, KIKUBWA NI KUSALI NA KUMUOMBEA! MUNGU WETU MWEMA ATAMPONYA!
cacico, mm ninasema hivi

najuta kuufungua uzi huu. toka jana nilikuwa naukwepa sijui nn kimenivuta kuufungua. NAJUA UNAJUA KWAMBA NI MIONGONI MWA WANAOSALI JUU YA MAMA YETU KILA SIKU. kwasababu hiyo nakusihi usikate tamaa wala kuvunjika moyo, pili mshikeni sana baba, mm humwita baba Yesu. sijawah kumwona baba kama huyu toka nizaliwe. Anahitaj zaid sapoti yenu moraly na pia anapenda kuona mnafuraha ingawa mnapita pagumu. Kama aliweza kukusaidia ulipopata janga la nyumba ni wazi kwamba hakuangalia anashida gani bali aliangalia furaha yako, ambayo anaamini kabisa mama yako anatamani kuiona unayo.

Hakikisheni kwamba nyie mnaish kwa upendo na ndugu na waume zenu na familia zenu ili baba aone amani nafsini na huo ndio ushindi wa mama. Mungu wa Yakobo akuinue, akutumie msaada toka patakatifu pake.
 
Ila mwanzisha uzi, kwann lakn??
duh! i have both my parents, and real siwez kusema kitu manake nilishawah kulia hadi kzuimia kwa kufiwa na mtu wa karibu yangu and that was baba mkwe.

OOh! lord popote alipolala A.....mwanga wa milele umwangazie. Siwez kusema uongo sijawah kuona baba mkwe aliyempenda mkamwana kama huyu. Siku ananichukua home kwa wazazi alisema sasa mm naenda kuwa baba yako na wewe utakuwa mwanangu na huyu GY nimemtoa awe mtt wa mzee E.

Alinipenda sana, sana na niliish ukweni kama niko numbani kwetu vile. nakumbuka siku nimepata simu kwamba ameanguka na kuzimia ilikuwa saa 3 asbh niliwasha gari kenda mpaka ukweni nafika namkuta yuko ICU hasemi wala haoni cha ajabu wajuu zake walpoingia ndani ya chumba tu wakazunguka kitanda alifungua macho na kuangalia ila hakuweza kusema neno. sijui ni nini. Alipofunga hakufungua tena manake the moment tunaambiwa muda wa kumwona meisha tulimwaga kwa kumbusu, tunafika nje ya geti la hosp tunaitwa ameshafariki duh! it was sad.

NAMKUMBUKA MPAKA LEO NA HUWA NALIA SANA KWAAJILI YAKE MANAKE ALIKUWA MSINGI WANGU WIN TIMES OF DIFFICULTIES. ALIHAKIKISHA KWAMBA TUKO HAPA TULIPO LEO MM NA HUBBY.

RIP BABA MKWE. Tunakupenda sana mpaka leo.
 
Mchambuzi, ukifiwa na wazazi unakuwa kama umepooza. Unajua, toka wazazi wangu wafriki huwa hata sisikii uchungu sana mtu akifiwa na wazazi wake. Nachukulia kawaida lakini si kwa minajili kuwa tufanane, la hasha, bali ni kuwa unakuwa hujielewi!

yaani hapo mkuu mi nilijua tangu kifo cha mama yangu miaka 7 iliyopita labda nilipatwa na emotional disorder.
Ever since my lovely mom passed away I never shed tears na hata huwa najishangaa hata niende kwenye msiba gani I never.
Back to topic,mie binafsi sijaona njia ya 1 kwa 1 bila kushirikisha imani,so mie mara nyingi huwa naandaa visomo maalumu vya kuwarehemu ikiwa ni pamoja na kwenda kuzuru makazi yao ya kudumu.
That way at least my mind finds peace.
 
huu uzi umenitoa hadi mood ya kufanya kazi,i really remember sana my dady smtime huwa nalia mwenyewe hasa ninapokuwa nahitaji msaada wa baba na sina wa kunisaidia.Ht ninapokuwa ktk misiba mingine huwa nalia sana, ila namshukru Mungu kwa kumpa nguvu na ujasiri mama yetu mpnz ambae pamoja na magumu yote lkn ameweza kutulea na kufikia hapa tulipo.Natamani sana baba angekuwepo ili afurahie matunda ya uzao wake na daima tunamkumbuka sana kwa sala na maombi.

Kwa wote tuliopitia haya,hatuna budi kushukru kwani Mungu ni mwema na ana makusudi yake kwetu,poleni sana!
 
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kwamba uchungu wa kufiwa na mzazi au wazazi anaujua yule aliyefiwa..
Kisha akaniambia kwamba kama una rafiki aliyefiwa na mzazi au wazazi halafu itokee ukamweleza kuwa unauguliwa na mzazi wako, usidhani atakusikitikia sana....

"Si afe tu ili tufanane" anaweza hata kuwaza hivyo......

Sina uhakika kama maneno ya huyo mzee ambaye ameshatangulia mbele ya haki yana ukweli.

Lakini ninachotaka kusema hapa ni kwamba ni wale tu waliofiwa na wazazi ndio wanaojua uchungu wa kufiwa lakini yule ambaye wazazi wake wote wapo hai hawezi kujua uchungu wa kufiwa.................
Umeadimikaaaa
 
cacico, mm ninasema hivi

najuta kuufungua uzi huu. toka jana nilikuwa naukwepa sijui nn kimenivuta kuufungua. NAJUA UNAJUA KWAMBA NI MIONGONI MWA WANAOSALI JUU YA MAMA YETU KILA SIKU. kwasababu hiyo nakusihi usikate tamaa wala kuvunjika moyo, pili mshikeni sana baba, mm humwita baba Yesu. sijawah kumwona baba kama huyu toka nizaliwe. Anahitaj zaid sapoti yenu moraly na pia anapenda kuona mnafuraha ingawa mnapita pagumu. Kama aliweza kukusaidia ulipopata janga la nyumba ni wazi kwamba hakuangalia anashida gani bali aliangalia furaha yako, ambayo anaamini kabisa mama yako anatamani kuiona unayo.

Hakikisheni kwamba nyie mnaish kwa upendo na ndugu na waume zenu na familia zenu ili baba aone amani nafsini na huo ndio ushindi wa mama. Mungu wa Yakobo akuinue, akutumie msaada toka patakatifu pake.
Ameen
 
Hakuna kipindi kigumu kama kuondokewa na mzazi. Usiombe kabisa.
Nakumbuka kila wakati ule upendo wa dhati kutoka kwa Baba na ninajua siwez kuupata mahali pengine popote pale.

Sio rahisi sana kusahau, kila nikimkumbuka lazima machozi yanitoke. Ni mwalimu wa kweli wa maisha yangu.

RIP DARLING DADDY.
 
Mungu atabaki kuwa Mungu, kifo kipo kila siku lakini kifo hakizoeleki, kifo kisikie kwa jirani.
 
Back
Top Bottom