Naunga mkono hoja kwa asilimia 95 tu, kwa sababu kupata mke aliyepevuka kiakili halafu bikra kwa dunia hii ni ngumu. La sivyo utaishia kuoa kabinti kadogo ambako bado akili ya kitoto, na mbaya sana ukaoa under 18 yakakukuta ya sheria a.k.a Babu Seyaling
 
Kuna manzi nimezalisha huko kwao hivi sasa ana mume na mtoto wao lakini haachi kunisumbua. Mbaya zaidi anasema mumewe hamfanyi kama nilivyokua namfanya mimi.

Anataka tuendelee kulisakata rhumba wakati mimi sitaki.

Kama sio busara zangu, basi ningekua najipigia mke wa mtu.

Hakika single mother sio wa kuolewa japo wapo wachache wanaojielewa
 
naunga mkono hoja

wanawake single mother wengi wanakuja sana kwetu sisi waganga wa kienyeji tunawapa madawa

ni kweli kwamba baba wa mtoto akitaka mzigo muda wowote anapewa sasa kama wewe kiburi oa tu single mother
Duh!...
 
ni ngumu kuwafanya binadamu wote wawe na mtizamo mmoja juu ya jambo lolote lile, kuna watu wanaamini katika single maza huwaambii kitu pia kuna watu wanaamini katika bikra kama mleta mada, hivo tujitahidi kuidhibiti mihemko yetu dhidi ya watu wengine maana haipendezi kuwakosea adabu coz tunamitizamo tofauti juu yao
Safi sana mkuu. Hakika umenena vema
 
hawa ni wanawake kama wengine...ni dada zetu, wake zetu, mama zetu , shangazi zetu na bibi zetu........kumbuka...alijitomba wenyewe???alikazwa na mtu mwanaume hakika........yes huna haja ya kubwatuka......wana haki zote.......Yes I married one.....hakika tuna furaha kuliko hata huyo bikra unaemvizia.....
 
Mkuu ww single mother walikufanya nini mpaka unawachukia hivyo?
Ktk ukoo wenu hakuna single mother?

Acha hizo bhana, kila mtu ana machaguo yake. Kikubwa omba mungu akupe mke mwema. Dunia ya sasa unaweza kuoa mwanamke bikra lakn baadae akaja kukengeuka na mpaka akakubambikia watoto ndani ya ndoa yako na ww hutakuwa n wasiwasi naye maana si ulimkuta bkra?

Na nakwambia kuwa uyaone na tembea uone na kuona ndio kuamini. Hao walioolewa bikra wakijanjaruka wanagongwa hasa tena hovyo mno na ukija kustukia ukaanza ugomvi anakuambia ww ndio chanzo unanisema umalaya kwani ulinikutaje toka kwetu? Huu umalaya nmeanzia kwako?.. Ww jiaminishe na bikra lakn iko siku utakuja kuona
 
hawa ni wanawake kama wengine...ni dada zetu, wake zetu, mama zetu , shangazi zetu na bibi zetu........kumbuka...alijitomba wenyewe???alikazwa na mtu mwanaume hakika........yes huna haja ya kubwatuka......wana haki zote.......Yes I married one.....hakika tuna furaha kuliko hata huyo bikra unaemvizia.....
hongera sana mkuu, watu aina ya mtoa mada ni wakupuuzwa maana hamna walijualo
 
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom