Unapomsikia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mstaafu Ole Sabaya akidai kesi yake ni "ya Kutengenezwa" unajifunza nini?

Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"

Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza?

Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini najikuta nalazimika kumuamini.

Kama Ole Sabaya anaweza kutengenezewa kesi inakuwaje kwa wapinzani kama akina Freeman, Sugu na hata yule Dude wa Songwe?

Dunia inaenda kasi sana kuelekea mwisho wake.

Maendeleo hayana vyama!

Maana yake anavuna alichopanda. Na la pili ni kuwa kila mmoja ana uhuru wa kusema atakavyo ilimradi......

Hata hivyo muongo ni muongo tu, ila waliopo madarakani wajifunze, hasa vijana....
 
Kwanini unamtaja Mbowe?
Mbunge wa Hai alikua nani?

Na Sabaya alikua DC wapi?

Mbowe aliambiwa uchaguzi ule hawezi kushinda kabla kura hazijapigwa na aliambiwa na askari.

Sasa unahitaji PhD kujua uhusiano wa maovu ya Sabaya , CCM kiujumla na polisi?
 
Kwahiyo ni kweli Ole sabaya alitaka kufanyiwa ugaidi na mbunge?
 
Sasa unajiuliza nini? Hata wewe hujui ukitaka matajiri wafate haki Kwa kulipa kodi ya kiwango chao hawapendi na watakutafutua kila namna ya kukuumiza kupitia watu wako hao hao kwa nguvu ya pesa, ukitazama kesi ya Sabaya Kuna kitu unaona, ukitazama VIFO vilivyo tokea ktk uongozi mpaka ngazi ya juu kwa Hayati unaona wazi Kuna muda tulivamiwa kama nchi, either na wageni au wenyeji wenye uchu wa madaraka na pesa au vyote
Konda nishushe kituo kinachofuata.
 
Aliyevamia hoteli ya Mbowe na gari zenye namba feki za umoja wa mataifa alikua ni nani?

Kila siku nasema awamu ile ilikua na washamba wengi sana yaani hata kulinda diplomasia walikua hawajali wanafikiri duniani unajiendea tu bila kushirikiana na wenzako.

Hivi mnajua huo ujinga wa kutumia Chartered Diplomat number umeligharimu taifa kiasi gani?
Ibilisi anapotamalaki ni shida. Tuombe kama taifa tusijepata viongozi wa dizaini ya awamu Ile mana kilikuwa kituko.
 
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"

Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza?

Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini najikuta nalazimika kumuamini.

Kama Ole Sabaya anaweza kutengenezewa kesi inakuwaje kwa wapinzani kama akina Freeman, Sugu na hata yule Dude wa Songwe?

Dunia inaenda kasi sana kuelekea mwisho wake.

Maendeleo hayana vyama!

Alistaafu kwa kupelekwa mahakamani?
 
A little too late to catch up the moving train......

Ajibebe tu hakuna namna
 
Sasa unajiuliza nini? Hata wewe hujui ukitaka matajiri wafate haki Kwa kulipa kodi ya kiwango chao hawapendi na watakutafutua kila namna ya kukuumiza kupitia watu wako hao hao kwa nguvu ya pesa, ukitazama kesi ya Sabaya Kuna kitu unaona, ukitazama VIFO vilivyo tokea ktk uongozi mpaka ngazi ya juu kwa Hayati unaona wazi Kuna muda tulivamiwa kama nchi, either na wageni au wenyeji wenye uchu wa madaraka na pesa au vyote
Kipimo unachopimia wengine ndio kipimo hicho hichi kinakusubiri.
 
Sasa unajiuliza nini? Hata wewe hujui ukitaka matajiri wafate haki Kwa kulipa kodi ya kiwango chao hawapendi na watakutafutua kila namna ya kukuumiza kupitia watu wako hao hao kwa nguvu ya pesa, ukitazama kesi ya Sabaya Kuna kitu unaona, ukitazama VIFO vilivyo tokea ktk uongozi mpaka ngazi ya juu kwa Hayati unaona wazi Kuna muda tulivamiwa kama nchi, either na wageni au wenyeji wenye uchu wa madaraka na pesa au vyote
Mkuu hoja yako ni nzito sana,,,,kwa kweli kuna jambo kubwa limetokea mwaka uliopita na kama tungekuwa watu makini, lazima tungefanya uchunguzi kwa vifo vya viongozi waandamizi wa kitaifa
 
Kwahiyo ni kweli Ole sabaya alitaka kufanyiwa ugaidi na mbunge?
Ugaidi gani?
Uliwahi muona Mbowe hata na bastola hadharani?

Sasa huyo Sabaya wenu aliyekua hadi na bunduki mafunzo alitoa wapi?

Jione hapo huyo jambazi wenu katika koti la UDC..

MATAGA hamna aibu naona hapo mlijisahau kutoa CCTV kamw kwa Lissu sababu ya ushamba..
 
Back
Top Bottom