Unapomleta Diwani wa CUF kuizodoa CHADEMA jukwaani, wenye busara wanakushangaa

Hela ya ccm inaliwa kibwege sana !
Hata michango mnayochangiwa na wanachama wenu nayo ndio inaliwa kibwege Zaid tena labda na watu wawili tu..aibuuuu....halafu mlivyokuwa waoga hamuwezi hata kuhoji Nani kala..aibuuuu...ukihoji unafukuzwa uanachama unaambiwa umetumwa..yarabi toba
 
Nimeweka Caption hapo juu, waje Misukule wa Polepole hapa wakanushe huo ukweli. Kila siku wanamfanya Magufuli aonekane mwongo majukwaani na yeye hajawashitukia tu!
Yey mwenyew mwongo aonekane mwongo mara ngapi mkuu....leo hii anashangaa kwann vijana hawana ajira wakati yey ndo chanzo
 
Hata michango mnayochangiwa na wanachama wenu nayo ndio inaliwa kibwege Zaid tena labda na watu wawili tu..aibuuuu....halafu mlivyokuwa waoga hamuwezi hata kuhoji Nani kala..aibuuuu...ukihoji unafukuzwa uanachama unaambiwa umetumwa..yarabi toba
Nje ya mada
 
Leo kwenye kampeni za CCM kumetokea kituko ambacho ni dhahiri sasa kina Polepole wameshajua jinsi ya kuchota akili za Mgombea wao ni kutengeneza matukio hata ya uongo ili kumfurahisha kwa vile wanajua anapenda sifa hata zisizokuwepo.

Leo kabla ya Mh. Magufuli kupanda jukwaani alipandishwa mtu aitwaye OMARY KUMBILAMOTO kutoa kilivhoelezwa na wapambe, "Jinsi CHADEMA ilivyokuwa ikipanga njama kuhujumu miradi ya maendeleo ili ionekane mbele ya wananchi serikali ya awamu ya tano inafeli kuwahudumia wananchi". OMARY KUMBILAMOTO;

1. 2015 alichaguliwa kuwa diwani wa Vingunguti kupitia CUF na siyo CHADEMA na akiwa ametokea CCM kujiunga CUF.

2. Alichaguliwa kuwa naibu Meya kwa mwavuli wa UKAWA kama shukrani kwa muungano wa vyama vilivyopigania katiba mpya yenye maoni halisi ya wananchi.

3. Hakuwahi kuwa Meya wa Ilala kwa tiketi tiketi ya upinzani Bali naibu Meya kama nilivyosema hapo juu.

4. August 2018 alijiuzulu nafasi yake na hatimaye akajivua uanachama wa CUF na baadaye akarejea kwao (CCM) ambako alipewa nafasi ya kugombea tena Udiwani wa Vingunguti na kupita kwa mbeleko wakati wa wimbi la biashara ya manunuzi ya wapinzani. Sababu alizozitoa wakati anajiuzulu ni kwamba amekuwa akipata vitisho toka kwa wenzake kwa sababu ya kuunga mkono Serikali.

5. Alichaguliwa kwa figisu kuwa Meya wa Ilala kwa tiketi ya CCM.

Sasa kwa hayo machache tu:

1. KUMBILAMOTO anapata wapi udhu wa kuisemea CHADEMA mabaya utadhani amewahi kuwa mwanachama mwandamizi hata ngazi ya kata?

2. Kujiita Meya wa upinzani huku akijua aliishia Unaibu Meya akiwa upinzani ni uongo unaotosha kuonesha waliomleta wamefilisika kipropaganda.

3. Tangu ajiunge CCM ni takriban miaka 2 sasa, na hajawahi kusema upuuzi aliolishwa Leo.

4. Wanaopanga propaganda za kitoto kama za leo wanadhani Watanzania bado ni wajinga na wafuata upepo kama wa enzi za Zidumu

Fikra sahihi.

View attachment 1597978
Kumbi kwa kisambaa ni dekio
 
bhona domozege anamtumia huyo boya kukashifu chadema. anamlia pesa zake zake tu ile fluke ya 2015 asiitegemee safari hii ni jino kwa jino mpaka bonyokwa.
 
Najiukiza hivi huyu mgombea wa Urais wa CCM hana uwezo wa kufanya mkutano walau mmoja bila wasanii? Kweli kabisa?
 
Huyo kawadanganya CCM akapiga hela ndefu Sana. CCM wasivyo na kumbukumbu na wao wakamuamini.
 
Back
Top Bottom