Unapomleta Diwani wa CUF kuizodoa CHADEMA jukwaani, wenye busara wanakushangaa

Ukawa mlikuwa mnafanya hujuma ili watanzania wasipate maendeleo,mmeumbuka sana.
Mtu pekee kama angekuwa na uwezo wa kulitawala jukwaa na kuongea propaganda na angeaminika ni Mashinji peke yake.

Hapa ndio utajuwa Polepole hana akili, Mashinji ndio alikuwa katibu mkuu wa Chadema anajuwa kila kitu, kama ni propaganda uchwara kuna Chakubanga wangemtumia Mashinji.

Lakini kwa PhD holder kumezeshwa ujinga akaongee jukwaani nafsi lazima imsute hawezi kukubali.

Kumbilamoto ni mzaramo halafu ni Uneducated, watu kama wale usibet naye, ukiweka akanye kumba kariakoo mchana kweupe ujuwe umeliwa pesa yako anafanya.

Mtu ambaye alikuwa meya wa ilala kutoka Chadema ni Kulikuyeko na ni mtu ambaye licha ya kuunga juhudi mkono lakini hawezi kujitia uchizi kama Kumbilamoto.

Watanzania wangekuwa wanapiga kura kwa kutafakari takataka kama hizi zisingekuwepo kwenye platform za kisiasa.
 
Baada ya kugundua mkipeleka uzushi wowote kuhusu CHADEMA mnapiga hela mkakusanya hata upuuzi mkauita hoja dhabiti ya kuupiga upinzani kumbe si hoja ni kihoja kaa hiki.
Lakini si alikuwa Mayor wa upinzani? Tena ukawa na mlimtumia kuhujumu maendeleo.
 
Hiyo ni dalili kua aliyemleta jukwaani ni kichaa, maana hajui analolifanya.
Asidhani watanzania ni wajinga,
 
Jamani mwenye connection ya kula hela za chanzo cha matatizo anipe,tafadhali jamani.
 
Kwahiyo hata yeye kumbilapanzi hajui alikuwa chama gani?
Sutaku kuamini Jana MaCCM yote yamechanganyikiwa na kukosa kumbukumbu
 
Lakini si alikuwa Mayor wa upinzani? Tena ukawa na mlimtumia kuhujumu maendeleo.
Wewe ni sehemu ya watu wajinga, umesoma thread na bado huelewi.

Kumbilamoto alikuwa Cuf, na hajawahi kuwa meya akiwa Cuf.

Waliompa umeya ni ccm, baada ya kununuliwa kama bidhaa ccm wakamzawadia umeya.

Weka rekodi clear, Kumbilamoto umeya ameupata wakati akiwa ccm.
 
Kwahiyo hata yeye kumbilapanzi hajui alikuwa chama gani?
Sutaku kuamini Jana MaCCM yote yamechanganyikiwa na kukosa kumbukumbu
Yamejazana JF kama kumbikumbi asubuhi ya saa 3 yanaandika bila aibu,
"ALIYEKUWA MEYA WA ILALA KWA TIKETI YA CHADEMA".
Labda kuna basi linaitwa CHADEMA linafanya safari zake toka Ilala Boma!
 
Leo kwenye kampeni za CCM kumetokea kituko ambacho ni dhahiri sasa kina Polepole wameshajua jinsi ya kuchota akili za Mgombea wao ni kutengeneza matukio hata ya uongo ili kumfurahisha kwa vile wanajua anapenda sifa hata zisizokuwepo.

Leo kabla ya Mh. Magufuli kupanda jukwaani alipandishwa mtu aitwaye OMARY KUMBILAMOTO kutoa kilivhoelezwa na wapambe, "Jinsi CHADEMA ilivyokuwa ikipanga njama kuhujumu miradi ya maendeleo ili ionekane mbele ya wananchi serikali ya awamu ya tano inafeli kuwahudumia wananchi". OMARY KUMBILAMOTO;

1. 2015 alichaguliwa kuwa diwani wa Vingunguti kupitia CUF na siyo CHADEMA na akiwa ametokea CCM kujiunga CUF.

2. Alichaguliwa kuwa naibu Meya kwa mwavuli wa UKAWA kama shukrani kwa muungano wa vyama vilivyopigania katiba mpya yenye maoni halisi ya wananchi.

3. Hakuwahi kuwa Meya wa Ilala kwa tiketi tiketi ya upinzani Bali naibu Meya kama nilivyosema hapo juu.

4. August 2018 alijiuzulu nafasi yake na hatimaye akajivua uanachama wa CUF na baadaye akarejea kwao (CCM) ambako alipewa nafasi ya kugombea tena Udiwani wa Vingunguti na kupita kwa mbeleko wakati wa wimbi la biashara ya manunuzi ya wapinzani. Sababu alizozitoa wakati anajiuzulu ni kwamba amekuwa akipata vitisho toka kwa wenzake kwa sababu ya kuunga mkono Serikali.

5. Alichaguliwa kwa figisu kuwa Meya wa Ilala kwa tiketi ya CCM.

Sasa kwa hayo machache tu:

1. KUMBILAMOTO anapata wapi udhu wa kuisemea CHADEMA mabaya utadhani amewahi kuwa mwanachama mwandamizi hata ngazi ya kata?

2. Kujiita Meya wa upinzani huku akijua aliishia Unaibu Meya akiwa upinzani ni uongo unaotosha kuonesha waliomleta wamefilisika kipropaganda.

3. Tangu ajiunge CCM ni takriban miaka 2 sasa, na hajawahi kusema upuuzi aliolishwa Leo.

4. Wanaopanga propaganda za kitoto kama za leo wanadhani Watanzania bado ni wajinga na wafuata upepo kama wa enzi za Zidumu

Fikra sahihi.

View attachment 1597978

Screenshot_20201012-194117.png



Ukawa,ikishirikiana na Chadema walituhujumu watanzania.
 
Wewe ni sehemu ya watu wajinga, umesoma thread na bado huelewi.

Kumbilamoto alikuwa Cuf, na hajawahi kuwa meya akiwa Cuf.

Waliompa umeya ni ccm, baada ya kununuliwa kama bidhaa ccm wakamzawadia umeya.

Weka rekodi clear, Kumbilamoto umeya ameupata wakati akiwa ccm.
Ndo nilichoandika halafu kwa makusudi anajifanya Zuzu.
 
Hela ya ccm inaliwa kibwege sana !
Jomba je ni kibwege kuliko hela za ruzuku za chadema zinavyoliwa..hahaha huwa mnajisahau kibwege zaidi unastukia umeropoka maneno yanayokurudia zipi kibwege zaidi..tafakari tena ufute na usemi wako...shwainnii
 
Back
Top Bottom