Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Kama unamkuta ndugu yako awe wa kiume au wa kike anafanya Ngono na Mpenzio unatakiwa ufanyeje. Uachane na Mpenzi wako, Ushughulike na ndugu yako, uwaache waendelee na mahusiano yao, uwaambie wazazi wako au ukae kimya kwa imani kwamba maisha ndivyo yalivyo??