Unapomaliza chuo na kuja kumuomba mzazi mtaji

hitler2006

JF-Expert Member
Sep 1, 2014
370
213
Wakuu nimekuta mzozo juzi hapa mtaani kwetu mzee mmoja akilalama kweli...

Mtoto nimemsomesha kwa shida nimeuza ardhi na asset zangu nyingi nikitegemea akimaliza masomo atakuwa mkombozi katika familia yangu cha ajabu ananiambia nimtafutie mtaji sasa degree yake inamsaidia nini si bora asingeenda chuo kikuu.

Mzee aliongea kwa hisia kali tulijaribu kumuelewesha kuhusu upungufu wa ajira na namna vijana wanakumbana na mizengwe katika upataji wa mikopo katika taasisi za kifedha lakini mzee hakuelewa aliishia kusema kijana kafeli na kama kweli amemaliza chuo lazima aajiriwe.

Jamii inahitaji kubadili mtazamo juu ya kuajiriwa na kusoma hatusomi ili tuajiriwe bali tupate maarifa yatakayotusaidia kutatua changamoto za sasa na baadae ikiwemo ukosefu wa ajira.
 
Mzee roho lazima immune, lakini kihalisia tunasoma ili kupata maalifa yatakayo tusaidia huko mbeleni, sema watanzania tulio wengi tuna fikra ambazo hujua mtu akisoma tu basi maisha yake yatakua mazuri au atapata ajira mara baada tu ya kuhitimu kwa sasa ni mgum sana.
 
Huyo mzee asikwepe jukumu lake. Anatakiwa kumsimamia mwanae mpaka asimame mwenyewe!
 
Mzee yuko sahihi sana, kawakilisha hoja kubwa lakini kwa njia ambayo inaweza isieleweke na wengi.

Wewe umesoma, maana ya kusoma ni ili upate maarifa ya kukabiliana na mazingira, iweje tena uje kumsumbua mzee unataka mtaji, wewe uliyesoma?

Mzee anaposema inawezekana mtoto amefeli, anamaanisha mfumo wa elimu umefeli, watu wanamaliza madigirii yao lakini hawawezi kuishi mitaani, wanachojua ni kuajiriwa tu, nje ya ajira hawawezi kuishi, MFUMO WA ELIMU UMEFELI.
 
Mzee roho lazima immune, lakini kihalisia tunasoma ili kupata maalifa yatakayo tusaidia huko mbeleni, sema watanzania tulio wengi tuna fikra ambazo hujua mtu akisoma tu basi maisha yake yatakua mazuri au atapata ajira mara baada tu ya kuhitimu kwa sasa ni mgum sana.
Dhumuni la elimu ni nini?
 
Mzee yuko sahihi sana, kawakilisha hoja kubwa lakini kwa njia ambayo inaweza isieleweke na wengi.

Wewe umesoma, maana ya kusoma ni ili upate maarifa ya kukabiliana na mazingira, iweje tena uje kumsumbua mzee unataka mtaji, wewe uliyesoma?

Mzee anaposema inawezekana mtoto amefeli, anamaanisha mfumo wa elimu umefeli, watu wanamaliza madigirii yao lakini hawawezi kuishi mitaani, wanachojua ni kuajiriwa tu, nje ya ajira hawawezi kuishi, MFUMO WA ELIMU UMEFELI.
Kwa hiyo huo mtaji anaomba akatafutie kazi? Mtoto kaamua kujiongeza tatizo hawa wazazi wetu wanafikiria kuwa lazima tuajiriwe tu ndo tutafanikiwa
 
Nakubaliana na wewe mkuu mfumo we elimu umefeli na hauendani na mahitaji ya sasa
 
Kwa hiyo huo mtaji anaomba akatafutie kazi? Mtoto kaamua kujiongeza tatizo hawa wazazi wetu wanafikiria kuwa lazima tuajiriwe tu ndo tutafanikiwa
Khantwe, umeshawahi kukaa na illiterates ukasikiliza mawazo yao?, simjui huyo mzaz ila inawezekana ni illiterate kwa sababu kawasilisha mawazo ki illiterate, na yuko sahihi sana....

Mna mnukuu vibaya, anaposema mwanangu kasoma kwa nini hajaajiriwa, anamaanisha mwanangu ana elimu kubwa kwa nini anashindwa kuyamudu maisha badala yake anakuja kutuomba hela ambao hatujasoma? Hadi hapo tunaenda sawa?
 
Hakuna mwenye kosa hapo mimi ninavyoona. Mzazi anazungumza kulingana na mtazamo wake na mtoto amefanya kulingana na hali halisi
 
Inawezekana umenielewa kidogo, hakuna mwenye kosa, na wote wako sahihi, ila usahihi wao unatofautiana.
Mzazi yuko sahihi sana na mtoto yuko sahihi kidogo... Tatizo liko kwenye mfumo wa elimu..
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom