Unapomaliza chuo na kuja kumuomba mzazi mtaji

ukitupwa jangwani au porini ukiwa na vyeti vyako tu vyenye GPA kubwa..utavitumiaje ili usife njaa ndani ya wiki tu kwa kuanzia?!
Hili swali inafaa tuwaulize makomandoo wa kijeshi wanaoendaga kupigani jangwani na porini, huwa wanadondoshwa tu na miavuli.
 
hela ya bodi inatosha kwa matumizi ya kitaaluma na kubakiza mtaji!!?..ulisoma wapi mwenzetu?..chuo hukuwa ukila wala kutumia hela kwa ajili ya stationary?!
Mkuu ukiona huyu jamaa hajasoma chuo au kama kasoma ana diploma ndo mawazo yao hayo mm binafsi kuna mtu nilimwambia loan board wananidai 14 M akaniuliza sasa hizo hela zote ulizifanyia nini hata kiwanja huna nikatamani nimtukane roho wa Mungu akanizuia
 
kubadili mindset za wazazi wetu ni ngumu sana, maana kila mzazi matarajio ya mtoto ni kuajiriwa tu wakati familia nyingine zina uwezo mkubwa tu kifedha, lakini inakuwa ngumu kuwezesha vijana wao wajiajiri kwa kutegemea ajira mungu turehemu.
 
Kwa hiyo kusoma lengo lake ni nini

Sure, it does not need money to make money. I know that this is vey new and strange iformation to you. IT DOES NOT NEED MONEY TO MAKE MONEY.
Aisee this is indeed new and I wish I could hear more of it...
 
Mzee yuko sahihi sana, kawakilisha hoja kubwa lakini kwa njia ambayo inaweza isieleweke na wengi.

Wewe umesoma, maana ya kusoma ni ili upate maarifa ya kukabiliana na mazingira, iweje tena uje kumsumbua mzee unataka mtaji, wewe uliyesoma?

Mzee anaposema inawezekana mtoto amefeli, anamaanisha mfumo wa elimu umefeli, watu wanamaliza madigirii yao lakini hawawezi kuishi mitaani, wanachojua ni kuajiriwa tu, nje ya ajira hawawezi kuishi, MFUMO WA ELIMU UMEFELI.
Kusoma na hela ni vitu viwili tofauti. Kusoma kunaweza kukusaidia kupata hela au kutopata.
 
hakuna education system ambayo ukimaliza ukatupwa mtaani kusikokua na ajira wala mikopo-itakusaidia ku-survive
Ni kweli nimesoma degree flani but I've never tought anything about money or economy, or ujasiriamali..... Zaidi ya kusoma kwenye vitabu
 
Kumaliza chuo na kwenda kulialia nyumbani si kitu kizuri. Mimi nipo radhi nife na njaa mjini lakini si kwenda kulialia tena nyumbani wakati wananisomesha kwa shida.
Bado unasoma mkuu...???
Kama bado unasoma hayo mawazo walikuwa nayo watu wengi sana ila ukiingia kwenye uhalisia utaona ugumu wake
Ni jukumu la mzazi kumuwekea mambo vizuri mwanane mpaka aweze kusimama peke yake
 
hizo huwa ni porojo tu..usimjali,ukimbana hapo atakupa mfano wa marekani wa MTU mmoja au watatu[/QUOTE
hakuna education system ambayo ukimaliza ukatupwa mtaani kusikokua na ajira wala mikopo-itakusaidia ku-survive
Years ago I learnt that there are four kinds of people in the world, one kind of people are people who must be RIGHT. These people know all the right answers, they went to school they know everything and you cant tell them anything, Khantwe, you have got an open and a willingness to learn, God bless you and keep it up, nakuja baadae kidogo kukufafanulia.
 
Aisee this is indeed new and I wish I could hear more of it...
Very possible, huyu inamankusweke probably anawaza tu watu wainame awasweke, yeye anachojua ni kwamba huwezi kufanya kitu bila mtaji au mkopo, that is all he knows, na kosa analofanya ni kudhani kuwa kamaliza maarifa yote, siyo kweli....

There is a lot of knowledge in this world about anything you want, anything, including building wealth or a bussiness without capital, your task is find that knowledge, you will have to learn, actually is to unlearn what you learnt in school..

Anakuambia ni porojo tu na nitakupa eti mifano ya watu wawili au watatu tena wa Marekani, siyo kweli!, siyo lazima nitoe mifano ya watu, cha msingi ni kubadili context na content, then you do it....
 
Kusoma na hela ni vitu viwili tofauti. Kusoma kunaweza kukusaidia kupata hela au kutopata.
Hapo ndipo ninaposema mfumo wa elimu una mapungufu, kwanini kusoma kusikusaidie kupata hela wakati lengo la elimu ni kukusaidia kupambana na mazngira kwa maana ya kuboresha maisha?, utaboreshaje maisha kama huna hela?
 
Back
Top Bottom