Unapokuwa unaoga halafu unasikia mkeo anapokea simu yako


Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,905
Likes
1,860
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,905 1,860 280
Ukiwa bafuni umejipaka sabuni ghafla simu yako inaita haijapita dakika mkeo anaipokea iyo simu inakuwaje, nasikia wengine huwaomba wake zao wakaoge pamoja ili mwanamke asiipekue simu yake ni kweli au.
43538284_2517352474956633_5791243024713383936_n-jpg.911221
 
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
1,430
Likes
2,420
Points
280
makilo

makilo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
1,430 2,420 280
Unaskilizia mazungumzo yao,unaskia mimi ni mke wake kwani we nani? 😂😂😂😂unatamani ukae huko huko bafuni.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,905
Likes
1,860
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,905 1,860 280
Unaskilizia mazungumzo yao,unaskia mimi ni mke wake kwani we nani? 😂😂😂😂unatamani ukae huko huko bafuni.
aisee kumbe simu yako imewahi pokelewa
 
Dr Programmer

Dr Programmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
258
Likes
284
Points
80
Dr Programmer

Dr Programmer

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
258 284 80
Mimi cm yangu ina password kila sehemu mpaka games zina password, hata kupokea bila password hawezi!
 
tueur de lion

tueur de lion

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
915
Likes
757
Points
180
tueur de lion

tueur de lion

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2017
915 757 180
Hatar sana!
 
Nassibamry

Nassibamry

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Messages
243
Likes
191
Points
60
Nassibamry

Nassibamry

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2014
243 191 60
Apoo ndio unaporopoka mke wangu Mpendwa huyo mke wa fatherhouse (landlord) ananisumbua sana toka jana tutatuma through mobile
 
Kulupura

Kulupura

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
2,471
Likes
847
Points
280
Kulupura

Kulupura

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
2,471 847 280
Hahahaaa mm uwa naendaga nayo aisee
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,229
Likes
2,718
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,229 2,718 280
Mimi cm yangu ina password kila sehemu mpaka games zina password, hata kupokea bila password hawezi!
Duh! Unaficha nini au wewe ni mtu wa majanga?...
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,429
Likes
27,547
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,429 27,547 280
Madame B hahahaha, kuwa makini
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,426