Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini.

Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha kuvunja kiapo kama inavyovunjwa katiba na sheria za nchi fulani fulani duniani.

Sasa inapotokea uko kimahusiano na mume au mke wa mtu au mtu ambaye yuko kwenye mahusiano rasmi basi hakikisha mnakubaliana namna ya kuwasiliana ili kuweka usalama kati yenu na mahusiano yaliyokuwepo,

Kwa mfano muwe na namna kuandika ujumbe wa kwanza na namna ya jumbe kujibu ili kujiridhisha kuwa anayeandika ujumbe ndio mhusika na sio mtu mwingine , au namna ya kupokea simu ili kujiridhisha aliyepokea sio ni mhusika na sio mwingine kabla ya kuongea chochote, maana kuna wale wazee wa simu ikishapokelewa tu yeye tayari ameshaongea maneno kama yote bila kujua anaogea na nani.

Mfano, ujumbe wa kwanza kama haujaona kitu fulani basi usijisumbue kujibu na kama ataendelea kukusumbua basi unajifanya hauijui hiyo namba maana unaweza kuta mtu amebananishwa huko katoa pasword na unayechat naye ndio aliyelipia mahali au ndi mke mkubwa na wewe ukajaa bila kujua.

Au namna ya kupokea simu yaani hata kama unaharaka gani akipokea simu na asipoanza na code mlizokubaliana hata kama saui ni ya kwake yaani hapo kata simu chap pita hivi.

Lakini la muhimu zaidi ni kuelewa mwandiko mwa mwenzako kwenye ujumbe huwa anaandikaje, maana kila mtu na mwandiko wake kwenye simu ukiwa makini unaweza ukajua tofauti ya uandishi wa watu.

Unaweza kugundua mtu anapenda kuandika kwa kifupi sana au neno zima au kuna vitu anapenda kuweka ili ujue labda katikati ya kuchat mambo yameharibika na wewe unabadilisha ngia angani
 
Umesahau jambo lingine la muhimu kama ww ni Me na unatembea na mke wa mtu basi hakikisha kilainishi ( ky au yale mafuta ya nazi) unakua nayo mda wote...

Maana huwezi jua siku wala saa ya kukukutana na wale wabeba majeneza wa Ghana na kile kimziki chao cha tulululu tutu tululu tululu tululululu tulululululuuu
 
Umesahau jambo lingine la muhimu kama ww ni Me na unatembea na mke wa mtu basi hakikisha kilainishi ( ky au wale wanaochezayale mafuta ya nazi) unakua nayo mda wote... Maana huwezi jua siku wala saa ya kukukutana na wale wabeba majeneza wa Ghana
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kwa mwanaume umempigia mke wa mtu unaanza na shikamoo dada, akijibu dada yako nani..
Ujue mambo shwari...

Akijibu marahaba mdogo wangu...
unazuga kuulizia jina tofauti... akisema umekosea number imeisha hiyo...

Ila ni vizuri mtulie binadamu wa siku hizi...
 
Namm nimeona hili katk mausiano yangu na mke wa mtu yey alinimbia kuw simu mume wake anapenda San kutumia jioni kuanzia saa 12 za jioni had usku anakuwa nayo yey hvyo nisitume Wala kujibu msg yoyote itakayo ingia kuanzia saa hzo na

Na pia akanimbia mume wake huyo akiandika msg na kuweka nukta Basi nisijibu hyo msg na simu niizime kabsa kwani Ni mume wake huyo ndio anapenda kuandiaka hvyo.

Nimejaribu kumuacha hyu dad lkn ataki kbsa kusikia hii hbr namfanya staili yeyote nitakayo mm Bila mgomo wowote .mbaya Zaid Ni Hawa wa dad wanaosali kwa mwamposa nachoka mm yaani sijui Ni maombi gani huwa anaenda kufanya na animbia ananiombe San tu
 
mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini..
ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha kuvunja kiapo kama inavyovunjwa katiba na sheria za nchi fulani fulani duniani
sasa inapotokea uko kimahusiano na mme au mke wa mtu au mtu ambaye yuko kwenye mahusiano rasmi basi hakikisha mnakubaliana namna ya
Piga imhotep reply Imhotep Imhotep
 
Umesahau jambo lingine la muhimu kama ww ni Me na unatembea na mke wa mtu basi hakikisha kilainishi ( ky au yale mafuta ya nazi) unakua nayo mda wote... Maana huwezi jua siku wala saa ya kukukutana na wale wabeba majeneza wa Ghana
 
Namm nimeona hili katk mausiano yangu na mke wa mtu yey alinimbia kuw simu mume wake anapenda San kutumia jioni kuanzia saa 12 za jioni had usku anakuwa nayo yey hvyo nisitume Wala kujibu msg yoyote itakayo ingia kuanzia saa hzo na

Na pia akanimbia mume wake huyo akiandika msg na kuweka nukta Basi nisijibu hyo msg na simu niizime kabsa kwani Ni mume wake huyo ndio anapenda kuandiaka hvyo
Nimejaribu kumuacha hyu dad lkn ataki kbsa kusikia hii hbr namfanya staili yeyote nitakayo mm Bila mgomo wowote .mbaya Zaid Ni Hawa wa dad wanaosali kwa mwamposa nachoka mm yaani sijui Ni maombi gani huwa anaenda kufanya na animbia ananiombe San tu
Kwa hiyo hata jicho anakupatiaga??.
 
Kuna siku nimetumiwa sms na dem mmoja nilimfukuziaga zamani akanitosa. Kumbe jamaa yake siku hiyo ndo alichukua simu yake akaanza kunichatisha.

Ila nikashtuka mbona anafanya kama mi tayari nnamahusiano nae wakati sina? Ila tayari mwanzoni nilikua nishajichanganya kumwambia nilivyommiss na nilivyonaham nayeye sababu kanipotezea siku nyingi.

Jamaa likanipigia simu kunimind namimi nikalichenjia kibao kwanini ananichatisha vitu sivijui maana kwenye chats akawa anaomba tumeet nipendekeze sehem nikamwambia sehem ya kawaida tu akajifanya kuniuliza kama simpeleki lodge nikamwambia naanzaje kukupeleka lodge hata hatujawahi kaa kuongea zaidi hata kupata drink.
 
Kuna siku nimetumiwa sms na dem mmoja nilimfukuziaga zamani akanitosa. Kumbe jamaa yake siku hiyo ndo alichukua simu yake akaanza kunichatisha. Ila nikashtuka mbona anafanya kama mi tayari nnamahusiano nae wakati sina? Ila tayari mwanzoni nilikua nishajichanganya kumwambia nilivyommiss na nilivyonaham nayeye sababu kanipotezea siku nyingi. Jamaa likanipigia simu kunimind namimi nikalichenjia kibao kwanini ananichatisha vitu sivijui maana kwenye chats akawa anaomba tumeet nipendekeze sehem nikamwambia sehem ya kawaida tu akajifanya kuniuliza kama simpeleki lodge nikamwambia naanzaje kukupeleka lodge hata hatujawahi kaa kuongea zaidi hata kupata drink.
Ungejaa tu ndio ungejuwa kuwa hujuwi
 
Back
Top Bottom