Unapokuwa mwaminifu utu wako huthaminiwa, na utu wako huheshimiwa sana tena sana

BenElohimy

Senior Member
Sep 21, 2021
181
222
Unapokuwa mwaminifu utu wako huthaminiwa, na utu wako huheshimiwa sana tena sana.

Watu wengi tumetaka utu wetu kuangaliwa kwa upendo lakini asiyekuwa mwaminifu hajawahi kupendwa, na hata kama akipendwa mahusiano yake hayadumu kwa kuwa siyo mwaminifu.

Je wewe unazungumziaje utu na uaminifu.

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom