Unapokuwa Mkoa! Nyumbani Kabisa!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Wakuu!
Kwa wale wenzangu wanaopataga Udirinki kiasi!
Ukiwa maeneo ya kwenu au ugenini kule vijijini kabisa ambako Bia ni nadra au hakuna kabisa. Je, unapataka Udirinki ya kwenu?
Hapa sizungumzii kupata za kienyeji kwa sababu ya kukosa za kizungu, nazungumzia kudumisha mila na kuwa karibu na uwapendao. Au we ni kati ya wale ambao mmeshajiaminisha kuwa kutumia udirinki wa kienyeji ni ushamba?
Binafsi huwa napataga udirinki hapa nazungumzia...
Kibuku
Komoni
Ulaka
Chivaladya
Nchinjima
Miropo
Mdafu
Kangara
Repherephe
Vigongo

Bila kusahau NIPA kidogo!
Wewe je? Kuwa huru kama nilivyo huru ktk hili.
Karibu tunywe... nionjeshe na za huko kwenu.

Wanzuki

Dushelele

machozi ya simba

unegele

choya

Mkuu hiyo ya mwisho nimewahi kugida kule Dom vijijini pale maeneo ya Kikombo katikati ya miaka ya 2000. Ni Wine ya ukweli ati! Siku hizi inapatikana hata hapa Dar ikiwa kisasa zaidi ktk chupa. Pia maeneo hayo wana Udirinki kwa jina Scud (skadi) ni aina flani ya wanzuki, Dah!

kweli mkuu na mimi nilikutana nayo Bihawana, Dodoma. Ni nzuri sana na recommended kwa ajili ya kuongeza damu. Lakini wengine wlikuwa wanaikosea kwa kuweka hamira, unabaki kupumua ushuzi tu.

[QUOTE=Mwita25;2448216]Wanzuki
Dushelele
machozi ya simba

unegele
choya[/QUOTE]
mmmmhhhhh huyu wa kwetu kabisa WANZUKI NA CHIKANDA

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom