Hali hii huwapata wengi ila kwa viwango tofauti. Ila kutafuta nyumba ndogo si utatuzi. Hata kidogo. Wa kwenye nyumba ndogo wengi (kama si wote) huwa ni majeruhi wa mambo haya haya. Kwa kuwa nao ni majeruhi huwa wanamatatizo zaidi. Uwe mwangalifu sana na mara nyingi nyumba ndogo itatia petroli kwenye moto sana sana utaungua zaidi ya kupona.
Jambo la kwanza ni kujiangalia wewe mwenyewe kwanza. Je wewe si chanzo cha tatizo? Kumbuka huko nyuma ilikuwaje. Kuwa mkweli na usijipendelee. Mara nyingi tunang'ang'ania misimamo yetu kutokana na ubinafsi. Badilisha kitu chochote ambacho una-hisi ni tatizo kwa mwenzio. Try to adjust.
Kama hakuna matokeo, inawezekana kweli huyu mtu mko incompatible. Lakini why did you get in each other in the first place?? Kama hamkulazimishwa basi kuna uwezekano mmebadilika, wote au mmoja wenu. inawezekana aliyebadilika ni huyu anayelalamika. Jaribu kujadiliana na mwenzio kuona kama kuna ambapo mmekosea. Be open and honest. Kuogopana mara nyingi ndo huwa tatizo.
Ikiwa yoote hayo hayasaidii, kutengana ni solution. Yes kutengana kwa muda huku kila mmoja wenu akijichunguza na kuona wapi alipoteleza. Inawezekana wakati mko pamoja self assesment inashindikana kwa sababu nobody want to lose. Hakuna anayetaka kuonekana kashindwa.
Baada ya kutengana kwa muda, hiyo ndo itatoa green light for divorce. Don't cling to each other when you are absolutely sure it is not working. Kwa nini tulazimishe kuishi pamoja? Ni kwa sababu ya economic benefit unazopata kwa mwenzio? Judge on your own, ikiwa hizo benefit ni muhimu kuliko your dignity.
If you feel confortable when separate, lakini mkirudiana hakuna mabadiliko, you sink back. NI WAKATI WA MAAMUZI MAGUMU. DIVORCE IN SOME CASES IS NECESSARY. NO TIME DIVORCE HAS BEEN A THING OF THE PAST. DIVORCE ZITAENDELEA KUWEPO TENA KWA WINGI ZAIDI KADRI TUNAVYOZIDI KUFUNGA NDOA ZA BONGO FLEVA. NO WAY!!