MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #41
Shishye somo lako limekwenda shule duh kumbe kweli mtu ukiamua kuolewa ujiandae haswa. No wonder wazazi wetu walikuwa wanaliaga watoto wao wakiwa wanaolewa duh. Kuishi na mtu uliyekutana naye tu ukubwani ni kazi so tusitegemee kuwa katika msitari mmoja kila mara.