Unapofikiria mtu ambaye ni mzuri, nani anakuja kwenye akili yako?

Mi napenda mwanamke awe mweupe au maji ya kunde mwenye umbo la wastani, sio bonge wala si mwembamba. Ila awe amejaa kwenye idara ya hips, tako liumuke kidogo na miguu iliojaa kiasi sio spoku kama za yule star aliejikondefy!

Ooh i forgot, awe na haiba ya kike si Tomboy mwenye walau kasura kenye mvuto.
Mkuu unauchaguzi wote huo si uwe na wepesi wa sifa chache tu Kama Mimi ilimradi awe anapumua tu! Mambo mengi ya nini..😂
 
Mi napenda mwanamke awe mweupe au maji ya kunde mwenye umbo la wastani, sio bonge wala si mwembamba. Ila awe amejaa kwenye idara ya hips, tako liumuke kidogo na miguu iliojaa kiasi sio spoku kama za yule star aliejikondefy!

Ooh i forgot, awe na haiba ya kike si Tomboy mwenye walau kasura kenye mvuto.
Vipi bi harusi amekidhi vigezo? Tatizo ushakuwa bwana harusi ningekuunganisha na pisi km comment yako hii
 
Hamna acha abakie na imagination za comment yake
Kama hivi eeh
Screenshot_20210111-150115.png
 
Back
Top Bottom