unapoenda kuchumbia:Kama huna tembo card tembea na salama

fige

JF-Expert Member
Jul 4, 2010
376
61
Kuna jamaa yangu mmoja kaniacha hoi asubuhi ya leo.

Tangazo la tembo card limepita baada ya muda likaja tangazo la yule kijana aliyepewa mke wa kimasai baada ya kudondosha salama condom.

Huyu jamaa baada ya kuona hilo tangazo akaunganisha mambo akasema 'kumbe kama huna tembo card dawa ni kutembea na salama condom'
 
hapo sawa. Ila kuna dhahma iliwahi kunikuta siku moja bank, natoa wallet ili nichukue atm card ikadondoka na condom nikaipotezea kama siyo yangu. Kuna dada alikuwa nyuma yangu akawa ananigusa bega ili anionyeshe nikageuka huku namwangalia kwa macho makali kweli hadi mwenyewe akaogopa kusema chochote.
 
Mkuu mjini hapo watu wameshakula hela tubunie lako ule hela kama jamaa wa nembo ya atcl
 
hapo sawa. Ila kuna dhahma iliwahi kunikuta siku moja bank, natoa wallet ili nichukue atm card ikadondoka na condom nikaipotezea kama siyo yangu. Kuna dada alikuwa nyuma yangu akawa ananigusa bega ili anionyeshe nikageuka huku namwangalia kwa macho makali kweli hadi mwenyewe akaogopa kusema chochote.

najua ulisita kuiokota coz kwa mawazo ya Watz wangekuna bonge la kicheche badala ya mtu anayejali!! pole sana mkuu sipati picha ingewa Zenji....
 
najua ulisita kuiokota coz kwa mawazo ya Watz wangekuna bonge la kicheche badala ya mtu anayejali!! pole sana mkuu sipati picha ingewa Zenji....

Katika hadhara ya watanzania ukidondosha Condom usifikiri kama watu watakuheshimu sana eti unajali hakuna hiyo. Utaonekana tu mpenda ngono na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom