Unapoanzisha mahusiano na mwanamke mpe asilimia 10 tu.

Kuna mmoja juzi kati nilikua napiga naye story akawa analalamika kuwa boyfriend wake bahiri na anampango wa kumuacha

Asa je akimua mtu kama huyo anayesema nibahiri atamuwaza tena?
atamuwaza vipi wakati matatizo yake yapo vile vile, nafasi ya kuweka muazo wa boyfriend bahiri hakuna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom